Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

1.Hataki katiba mpya, maana yake kanogewa na katiba hii ya kidikteta

2. Amesema eti rais hakosei, naona mleta mada wewe unaongea opposite wakati yeye anaamini yuko sahihi all the time

3. Anateua watovu wa nidhamu waliofukuzwa kazi bungeni kama Nassari

4. Anareward tabia mbaya na usaliti na kununuliwa, anajua wazi akina Lijualikali, Walinunuliwa na Magufuli katika mango wake mbovu wa kubadili katiba ili atawake milele, yeye anakwenda kubariki uendawzimu huo wa kisiasa—Tulitegenea kuwa angekuwa sober kidogo na kuachana na mambo ya ajabu ya Magufuli kumbe na yeye anayelea na kuyaempower

5. Tunafurahia kuwa kuna mambomazuri ameyafanya katika kipindi hiki kuelekea siku zake 100 madarakani, sasa ni muda wa yeye kuonyesha shrewdness, statesmanship, visionary leadership kwa kujenga mifumo ya kitaasisi ya nchi, tubataka tuone Akiwa Champion wa Uongozi bora na Siasa Safi. Hivyo vitu haviwezi kupatikana katika katiba hii iliyopitwa na wakati, katiba ya kuipendelea CCM badala ya nchi
 
Mama asifanye Mambo kuridhisha watu au kikundi afate muongo ili sahihi na akicheka na nyani atavuna mabua.
 
Huyu mama hakuna kitu, kila siku anakosea tu
 
Mibavicha ndio haina akili kabisa!

Mwanzo ilikuwa inamsifia sana! Alipofanya uteuzi wa kuwateua kina Nassari na Lijuakli ndio ikawa kama mbogo!

Nawaulizeni nyie mabavicha, hivi mlifikiri mama atafanya kwa matakwa yenu na si ccm?
Huna akili wewe Taga.
 
Salaam ndugu Paskali, Umenena na kuanalyse vyema kwenye andiko lako hili, Kuna tatizo mahali, tunapojenga hoja za kuhoji na kukosoa mamlaka kwa maslahi mapana ya nchi yetu, uonekana ni usaliti na ukosefu wa uzalendo, Aidha unaposifia na kuonyesha ufanisi wa Serikali na taasisi zake, tuna nangwa na kuitwa wasaka uteuzi kwa kusifia watawala, Sasa " Which is which" Nafikri ni Bora kujenga hoja za utatuzi na uponyaji wa taifa kuliko kusikiliza kelele za watu wasiojulikana wanasimamia nini na kuamini katika Falsafa ipi pale inapokuja mantiki pana ya maslahi ya taifa letu.
 
Mibavicha ndio haina akili kabisa!

Mwanzo ilikuwa inamsifia sana! Alipofanya uteuzi wa kuwateua kina Nassari na Lijuakli ndio ikawa kama mbogo!

Nawaulizeni nyie mabavicha, hivi mlifikiri mama atafanya kwa matakwa yenu na si ccm?
Hivi BAVICHA ndio "waliokuvunja uzi"!!?? Kutwa kuchwa BAVICHA hawatoki vidoleni mwako,na hii inaonyesha wamejaa telee bichwani na mdomoni mwako pia.
 

wewe ndio ovyooo watu wamechaguliwa jana unataka wakafanye nini kwa siku mbili hizi ujue ni wachapa kazi . unatutajia eti achaguliwe mtu fulani ndio anafaa hatutaki wauza unga kuwa kiongozi
 
Paskali katika UBORA wako .....

Iko siku VETTING itakuona hata UDED....madini yamejaa kwako.....

#KaziInaendelea
Watu was aina ya Pascal huwa wanashindwa kazi mapema Sana, wao kuremba maneno ni hodari Sana vitendo 0.
Mfano mzuri mwigulu nchema, kabla ya kuteuliwa naibu wizara ya mipango na fedha, alijinasibu Sana kuwa yeye ni uchumi Tena kati ya wachumi 10 Tanzania naye yumo.

Alishindwa mapema, watu wakasema aliongozwa na waziri mkuya,
Sasa kapewa wizara kuiongoza mtaona atakavyotuangusha.
Lakini pia alipewa wizara ya polisi, ikamshinda pia
 
Nani anamlaumu kama sio nyie mataga? Unapandisha uzi lakini lengo lako ni tofauti na ulichoandika. Mama yupo. Mpaka 2030
 
Mkuu NN, kwanza tukubaliane sisi ni Waafrika, Watanzania na Waswahili, kuna vitu kwa wenzetu wazungu, its ok, lakini kwetu Waafrika, they are not ok, mfano ukimtukana kiongozi mwanaume, inaweza isimuume sana, lakini ukimtukana kiongozi mwanamke inauma sana. JPM tulimkosoa sana kwa lugha ngumu, chungu na za kuudhi, kwasababu na yeye hizo zilikuwa ndio lugha zake, sasa anapokuja kiongozi mwingine, mwanamke, mwenye macho yale, mwenye lugha tamu, laini na ya kutia matumaini wakati wote, tumkosoe kwa lugha inayofanania naye. Being gender conscious na gender maintreaming ni pamoja na kupunguza ukali wa maneno kwa gender tofauti tofauti.
P
 
Nani anamlaumu kama sio nyie mataga? Unapandisha uzi lakini lengo lako ni tofauti na ulichoandika. Mama yupo. Mpaka 2030
Sio kila Kada wa CCM ni taga!.
Tuko makada wa aina tofauti tofauti.
Mimi ni kada ila sio taga!.
P
 
Paskali pambana na njaa zako ndugu, TEUZI zimeisha huwezi kuwa juha kiasi hicho, mama anakosea tena sana huwezi kuteua watu bila vigezo kisa wanajua kuvaa mashati ya kijani never, kwenye huo mkeka aliotoa kuna watu wala hawakustahili kuwa ma monita wa darasa la nne B ,
 
🤣🤣🤣🤣

 
Lazima akosolewe kwenye mazuri tutampongeza na kwenye mabaya atasemwa ndo maana hata JPM alikosolewa we have to be fair maana JPM alipokuwa anokoselewa wengi humu Jf walikuwa wanashangilia....honeymoon is about to be over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…