Kwanza naunga mkono hoja ya rais mwanamke ile 2025, kwa utaratibu wa CCM, urais huu wa Mama Samia ulioletwa kwa kudra za Mwenyezi Mungu, hii ni awamu yake ya kwanza, hivyo kila mtu anajua 2025 ndio awamu yake ya pili.
Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, aliisha liweka vizuri ile siku anaongea na BBC kuwa kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana ni one is shure kufika 2025, ni busara rais Samia akaendelea ou deal na ya Kaizari, na yale ya Kimungu tumuachie Mungu, my honest opinion is she didn't need kuonyesha yeye ndie anataka kugombea, hiyo atuachie sisi wananchi, wapambe na chama ndio kiseme na sio yeye.
2. Lile gazeti lililosema hagombei lile sio kigazeti ni gazeti. Waandishi wa wito, tunaumia sana pale tunapodharauliwa na Viongozi wetu. Yes sisi waandishi sio malaika, hivyo tunakosea lakini tunastahili kuvumiliwa, kustahimiwa na tunapokosea tukosolewe, turekebishwe, tuadhibiwe ila tusibezwe, tusidharauliwe, tusidhalilishwe, bali tuendelee kuheshimiwa. Ukiangalia mchango wa "hicho kijigazeti" kimeifanyia nini CCM mpaka hapo ulipo na Mama Samia alipo, halafu kulinganisha na lile kosa, bado gazeti hilo linastahili heshima yake ya kuitwa gazeti, kama Mama mwenye nyumba, mtoto wake mwenyewe wa kumzaa ndio anamuita jina baya, sisi watoto wa jambo tutegemee nini?.
3. Japo Rais Samia got upresidaa by default only and it happens she is a woman, now she is our president, she doesn't needs kuzungumzia gender yake every now and then. Ameisha eleweka kabisa na sasa itoshe.
Japo 2025 tunakwenda na Mwanamke, na ni Samia, nawaombeni sana wapambe msianze kuvurumisha tarumbeta hadj kuonekana tunampangia mpangaji, Mama Samia alisema ya 2025 tumwachie Mungu, chonde chonde tumwachie Mungu, sisi binaadamu tusipige sana makelele ya 2025 lazima ni fulani hadi tukajikuta tunamponza mtu wetu bure kama tulivyo mponza naniliu!.
Namalizia kwa kusisitiza sisi watu wa media, we have a duty of care kumsaidia Mama aweze.
Teuzi zimekwisha mkuu, pambana tu nahali yako, mtu akifuata utawala wa sheria na sheria na akifuata haki na haki ikionekana imetendeka hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kujinadi automatically unakubalika tu. Tuache muda uamue na usiwapangie watu mkuu
Kwanza naunga mkono hoja ya rais mwanamke ile 2025, kwa utaratibu wa CCM, urais huu wa Mama Samia ulioletwa kwa kudra za Mwenyezi Mungu, hii ni awamu yake ya kwanza, hivyo kila mtu anajua 2025 ndio awamu yake ya pili.
Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, aliisha liweka vizuri ile siku anaongea na BBC kuwa kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana ni one is shure kufika 2025, ni busara rais Samia akaendelea ou deal na ya Kaizari, na yale ya Kimungu tumuachie Mungu, my honest opinion is she didn't need kuonyesha yeye ndie anataka kugombea, hiyo atuachie sisi wananchi, wapambe na chama ndio kiseme na sio yeye.
2. Lile gazeti lililosema hagombei lile sio kigazeti ni gazeti. Waandishi wa wito, tunaumia sana pale tunapodharauliwa na Viongozi wetu. Yes sisi waandishi sio malaika, hivyo tunakosea lakini tunastahili kuvumiliwa, kustahimiwa na tunapokosea tukosolewe, turekebishwe, tuadhibiwe ila tusibezwe, tusidharauliwe, tusidhalilishwe, bali tuendelee kuheshimiwa. Ukiangalia mchango wa "hicho kijigazeti" kimeifanyia nini CCM mpaka hapo ulipo na Mama Samia alipo, halafu kulinganisha na lile kosa, bado gazeti hilo linastahili heshima yake ya kuitwa gazeti, kama Mama mwenye nyumba, mtoto wake mwenyewe wa kumzaa ndio anamuita jina baya, sisi watoto wa jambo tutegemee nini?.
3. Japo Rais Samia got upresidaa by default only and it happens she is a woman, now she is our president, she doesn't needs kuzungumzia gender yake every now and then. Ameisha eleweka kabisa na sasa itoshe.
Japo 2025 tunakwenda na Mwanamke, na ni Samia, nawaombeni sana wapambe msianze kuvurumisha tarumbeta hadj kuonekana tunampangia mpangaji, Mama Samia alisema ya 2025 tumwachie Mungu, chonde chonde tumwachie Mungu, sisi binaadamu tusipige sana makelele ya 2025 lazima ni fulani hadi tukajikuta tunamponza mtu wetu bure kama tulivyo mponza naniliu!.
Namalizia kwa kusisitiza sisi watu wa media, we have a duty of care kumsaidia Mama aweze.
Hatumpingi mama, na binafsi namwamini sana ila yeye anapaswa kujiamini asifanye mambo kwa matakwa ya watu wa pembeni awe na maono yake mwenyewe asifuate akili mbovu zinazomshauri vibaya. Ndio maana JPM alikuwa mkali hadi akasema kuna wastaafu wanawashwa washwa.

Mkuu mi sikubaliani na wewe,Uraisi ni taasisi,sio mtu mmoja,
Haya mambo ya kuamka na kufsnya teuzi kama vile anateua shoga zake wakwenda nae ngomani yanakera,
Unateuaje viongozi waovyo,ambao clip zao wakifsnya mambo ya hovyo mtaani zipo kibao,hao intelligensia wanafanya Kazi gani!?Kwanini hateui watu kama Antony Mtaka,unaenda kutuletea Almasi Nyangasa! kwa kipi kikubwa alichofanya?
Kipindi Bety Mkwasa anateuliwa kuwa DC,nchi ilimuona kwa juhudi zake za kutoa Elimu ya ukimwi,sasa Hawa Kina Nick wa pili, Mwaipaya, wamefanya nini?
Kwanini anateua watu wa hovyo kabisa, si bora hata Ukampa Diamond unaibu waziri. Nchi inawatu milioni 50+,unateua mijitu ambayo Haina accomplishment yoyote duniani, zaidi ya Swaga za ujana, wapo vijana wadogo Wana PHD, masters zao kwenye vyuo, wapo vijana wanapiga biashara kama Vunja bei, kwanini uwapi hao vyeo kwenye wilaya za kimkakati Ili walete Mawazo mapya,Hawa kina Mwaipaya, sasa hv wanawaza jinsi ya kuongeza kiwanja,kumaliza nyumba ya kupanga, hakuna kitu hapo
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, kwa kufanya makosa ya kibinaadamu, hivyo nashauri, tusimfanyie nongwa, tusikalie kumlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa madogo madogo kabisa ya kawaida ya kibinaadamu, kwasababu binadamu wote huwa tunakosea, na hakuna mkamilifu.
Ila pale ambapo rais Samia amefanya makosa ambayo sio ya kwake, yale makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake au vyombo vyake, yakiwemo vyombo vya uteuzi vyenye jukumu la kufanya vetting, kwa baadhi ya watu wa hovyo hovyo kukwaa uteuzi, sio sawa, sio haki kumlaumu na kumshutumu mteuzi tuu yaani Rais Samia, nashauri kwanza, tumuonyeshe Mama Samia kuwa amechomekewa mabomu, kisha tumuonyeshe hayo makosa na makorokocho ya baadhi ya wateule wake walivyo wa hovyo, kisha tumvumilie kwa tumpe muda, atarekebisha mwenyewe yale makosa madogo madogo with time, tukiona ameambiwa makosa ya wateule wake, tukamuonyesha madudu ya wateule wake, na yeye akiwaona bado wanamfaa, tuheshimu maamuzi yake, tusimpangie kwa jinsi ile ile ambayo hatukumpangia mtangulizi wake.
Declaration of Interest
Humu jf, kumezuka mtindo, ukisifia tuu jambo lolote zuri la viongozi wetu, unanyooshewa vidole kuwa unausaka u-DC, na ukikosoa lolote, unanyooshewa kidole cha hizo ni hasira za kuukosa uteuzi.
Naomba ku decrare interest, mimi Pascal Mayalla nikisifia, sisifii ili kuutafuta uteuzi, wowote wa nafasi yoyote, wanaosifia kwa ajili ya kutafuta uteuzi, kazi yao itakuwa ni kusifia tuu mwanzo mwisho na kamwe hutawasikia wakikosoa lolote.
Mimi husifu tuu pale penye kustahili sifa na hukosoa kwenye makosa, ila ukosoaji wangu ni constructive cricitisim, nikikosoa na hapo hapo kushauri nini cha kufanyika.
Mimi kwa shughuli zangu za PPR, nachangia fedha za kiasi cha kutosha kuwalipa mishahara ya mwaka mzima RC, DC na Mkurugenzi!, sasa mtu kama huyu, autafute u DC wa nini?!. Japo kwa sasa, nakiri kupigika sana lakini kwa mtu kama mimi, kitu ninachokihitaji kwa Mama Samia, ni kuendelea tuu kuboresha mazingira ya biashara, PPR irudishiwe zile tenda zake, tumsaidie Mama Samia, kumlipia mishahara ya ma RC, ma DC na Wakurugenzi wake.
Japo mkubwa ni jalala, na ukiwa kiongozi ni lazima uwe na ngozi ngumu, lakini tusimsakame saana Mama Samia kwa makosa ambayo sio makosa yake bali ni anakuwa ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake.
Pili, Mama, Samia sio malaika ni binadamu tuu, kama binaadamu wengine, hivyo anaweza kukosea kama, binadamu wengine wowote, hivyo tujenge tabia ya uvumilivu kwa yale madogo madogo ya kibinaadamu.
Nakiri kupandisha bandiko kufuatia kelele nyingi za shutuma, lawama, kumsakama Mama Samia kwenye uteuzi wa baadhi ya watu. Mfano ni bandiko hili
Ni Albert Msando. Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe? What was he doing there? Fingering her? What the hell is wrong with you Samia? Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on...
www.jamiiforums.com
Mkuu Nyani Ngabu, kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tu.
Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.
Hayo makorokocho na Gigy ni personal private matter akiwa under influence of alcohol. Kuvuja kwa hizo video ni kuingilia privacy zake, kama tutapekenyeua privacy za kila mtu kwa kutumia a hidden camera, hakuna msafi, na hakuna atakayebaki !.
Mwisho, with due respect, umetumia lugha kali mno na very harsh kwa mtu gentle kama Mama Samia.
Maneno kama
"What the hell is wrong with you Samia?"
"Shameful! Repulsive! Disgusting!"
"shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?"
"Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?"
are unclalled for kwa mtu mwenye sifa kama za Mama Samia, wote tunajua vetting hafanyi yeye, yeye analetewa tuu majina, hivyo maneno makali haya, hayamstahili, mtu mwema, mpole, mstaarabu, mwelewa, mnyenyekevu kama Mama Samia.
Na kwa kuongezea, tofauti kubwa ya mwanaume na mwanamke sio physiological on sex tuu ya being male and female, bali ni psychological, men thinks, women feels, ukimtukana mwanaume kwa maneno makali hata matusi, mwanaume can take it na isiwe a big deal, kwasababu ana ngozi ngumu, lakini kwa mwanamke, it's not, wanawake wana ngozi laini, hivyo naomba usiyalize yale macho, laini, legevu, ukayarowesha kwa machozi, utatuumiza wengi!. Please lets spare this lovely lady kwenye baadhi ya mambo.
Wana MMU, Salaam. Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye...
www.jamiiforums.com
Hitimisho
Kama ambavyo hatukumpangia Magufuli, nashauri pia tusimpangie Samia, tuepuke matukano, lugha za machukizo, ukali kebehi, kubagaza, tuendelee kumkosoa kwa lugha ya heshima, staha, kistaarabu kwa nia ya kujenga, huku tukikosoa constructively kwa nia ya kujenga huku tukishauri, the right thing to do.
Kwanza naunga mkono hoja ya rais mwanamke ile 2025, kwa utaratibu wa CCM, urais huu wa Mama Samia ulioletwa kwa kudra za Mwenyezi Mungu, hii ni awamu yake ya kwanza, hivyo kila mtu anajua 2025 ndio awamu yake ya pili.
Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, aliisha liweka vizuri ile siku anaongea na BBC kuwa kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana ni one is shure kufika 2025, ni busara rais Samia akaendelea ou deal na ya Kaizari, na yale ya Kimungu tumuachie Mungu, my honest opinion is she didn't need kuonyesha yeye ndie anataka kugombea, hiyo atuachie sisi wananchi, wapambe na chama ndio kiseme na sio yeye.
2. Lile gazeti lililosema hagombei lile sio kigazeti ni gazeti. Waandishi wa wito, tunaumia sana pale tunapodharauliwa na Viongozi wetu. Yes sisi waandishi sio malaika, hivyo tunakosea lakini tunastahili kuvumiliwa, kustahimiwa na tunapokosea tukosolewe, turekebishwe, tuadhibiwe ila tusibezwe, tusidharauliwe, tusidhalilishwe, bali tuendelee kuheshimiwa. Ukiangalia mchango wa "hicho kijigazeti" kimeifanyia nini CCM mpaka hapo ulipo na Mama Samia alipo, halafu kulinganisha na lile kosa, bado gazeti hilo linastahili heshima yake ya kuitwa gazeti, kama Mama mwenye nyumba, mtoto wake mwenyewe wa kumzaa ndio anamuita jina baya, sisi watoto wa jambo tutegemee nini?.
3. Japo Rais Samia got upresidaa by default only and it happens she is a woman, now she is our president, she doesn't needs kuzungumzia gender yake every now and then. Ameisha eleweka kabisa na sasa itoshe.
Japo 2025 tunakwenda na Mwanamke, na ni Samia, nawaombeni sana wapambe msianze kuvurumisha tarumbeta hadj kuonekana tunampangia mpangaji, Mama Samia alisema ya 2025 tumwachie Mungu, chonde chonde tumwachie Mungu, sisi binaadamu tusipige sana makelele ya 2025 lazima ni fulani hadi tukajikuta tunamponza mtu wetu bure kama tulivyo mponza naniliu!.
Namalizia kwa kusisitiza sisi watu wa media, we have a duty of care kumsaidia Mama aweze.
Msimu wa kilimo umefika twende shamba tukalime,acha kulamba miguu wanasiasa,teuzi zilishaisha tupambane na hali zetu,acha Msoga kwa sasa wajidai na nchi yao!
Kwakweli hawamtendei haki Mama, anajitahidi sana kazi anayoifanya sasa sio ya kubeza nafikiri sote tunaona jinsi kesi zinavyopanguliwa na mambo mengine kama hayo.
Tumpe muda na tumsaidie kwa kufanya kazi zetu kwa weledi.
Atuondolee kero kwanza ndio tumvumilie otherwise spana zitaendelea tu! Huwezi kubariki uporaji wa fedha za raia kingese tu bila kujali wakati unajua fika mambo ni tight mno!
Atuondolee kero kwanza ndio tumvumilie otherwise spana zitaendelea tu! Huwezi kubariki uporaji wa fedha za raia kingese tu bila kujali wakati unajua fika mambo ni tight mno!
Mhe. Rais akikosea anaweza akarekebisha makosa endapo yanarekebishika. Mhe Rais ni mwepesi kurekebisha pale anapopata fact kwamba Kuna mapungufu, aliwahi kuacha baadhi ya wateule wake baada yakusikia wananchi wakilalamika, Leo amerekebisha utata uliokuwa kwenye hotuba yake. Huu ndio uzazi na Uarais siyo kukomaa ukijitapa kwamba hakuna makosa
Mwisho; anaamini kwamba anaweza kupotoshwa na walio chini yake Kwa maslahi Yao na anapobaini anarudi nyuma kuyatizama maamuzi yake nakurekebisha pale alipopotoshwa. Tulimsikia kwenye mkutano wa vyama vya siasa,alikiri kwamba maridhiano ni muhimu na akaagiza waliopo chini yake wamshauri namna nzuri yakuliponya Taifa
Hizi sifa wanazo watu wachache sana, hata huko upinzani hakuna watu wenye sifa hizi sema awajapata madaraka mngejionea rangi zao halisi.
Kuhusu maendeleo; ukiwa na Kiongozi anayetenda haki na anayemcha Mungu ni zaidi ya majengo na mareli. Ukiwa na hofu hata utajiri hauna maana. Ameanza kurejesha confidence yetu soon ataendelea kufungua milango tujiletee maendeleo maana hakuna Rais anayeleta maendeleo, maendeleo yanaletwa na watu Kwa kufanya KAZI. Akiendelea mmoja mmoja kati yetu basi Taifa limesonga mbele.
Hongera Mama Samia, unayo Nafasi yakurekebisha machache mabaya yanayokuchafua hasa ya kisiasa then utafanya mazuri mengi. Fungua Moyo na TANGAZA MSAMAHA KWA WALIOKUKOSEA UANZE UKURASA MPAYA, SAMEHE ULIORITHI KUTOKA KWA UTAWALA ULIOPITA. PONYA TAIFA MANUNGUNIKO YAKIISHA TAIFA LITAPATA BARAKA NA UMOJA WETU UTAONEKANA. NIKUOMBE SANA SANA USIRITHI UKATILI MAANA UJAZALIWA KATILI, USIUMIZWE NA WAPINZANI WANAOSEMA ADHARANI, UMIZWA NA WANAOKUSEMA GIZANI AMBAO UMEWATEUA WEWE. HAO WA NDANI WANAOKWAMBIA FUNGA HUYU FUNGUA HUYU NI WABAYA KULIKO WANAOKUBEZA ADHARANI.
NIKUTAKIE MWAKA MPYA 2022, NIPO NAWEWE BEGA KWA BEGA KWENYE YALE TU YENYE MASLAHI KWA TAIFA NA SIYO MASLAHI YA CHAMA.
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, kwa kufanya makosa...
www.jamiiforums.com
Hivyo hata hili la milioni na bilioni, ni kosa la kawaida sana tusilifanye nongwa.
P
pale ambapo rais Samia amefanya makosa ambayo sio ya kwake, yale makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake au vyombo vyake, yakiwemo vyombo vya uteuzi vyenye jukumu la kufanya vetting, kwa baadhi ya watu wa hovyo hovyo kukwaa uteuzi, sio sawa, sio haki kumlaumu na kumshutumu mteuzi tuu yaani Rais Samia, nashauri kwanza, tumuonyeshe Mama Samia kuwa amechomekewa mabomu, kisha tumuonyeshe hayo makosa na makorokocho ya baadhi ya wateule wake walivyo wa hovyo, kisha tumvumilie kwa tumpe muda, atarekebisha mwenyewe yale makosa madogo madogo with time, tukiona ameambiwa makosa ya wateule wake, tukamuonyesha madudu ya wateule wake, na yeye akiwaona bado wanamfaa, tuheshimu maamuzi yake, tusimpangie kwa jinsi ile ile ambayo hatukumpangia mtangulizi wake.
tunatakiwa tutoke huku twenda kwa kuzingatia uwezo, weledi na uzoefu kwa maslahi mapana ya taifa na hasa ukizingatia kuna tatizo kubwa la ajira kwa vijana
Urais una kitu kinachoitwa "duality" yaani vitu viwili in one. Hivyo rais ana dual personalities, 1. Rais ni binadamu, a human being anayeitwa Samia Suluhu Hassan, huyu ni binadamu kama binaadamu mwingine yoyote, anaishi Ikulu, ni nyumbani kwake, she eats, sleep, she has feelings, she can be angry, happy, she can cry etc, and is capable of doing everything a human can do including doing mistakes.
2. Rais ni presidential institution, yaani huyu ni taasisi ya urais, its not human, taasisi hii unaishi Ikulu ambapo ni mahala patakatifu, rais ni mtakatifu na hawezi kukosea ndio maana hawezi kushitakiwa. Ile kinga ya rais kutokushitakiwa ni kutokana na hii institution hivyo rais yule human being, anakuwa shielded by the institution part of her.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.