Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Teuzi zimekwisha mkuu, pambana tu nahali yako, mtu akifuata utawala wa sheria na sheria na akifuata haki na haki ikionekana imetendeka hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kujinadi automatically unakubalika tu. Tuache muda uamue na usiwapangie watu mkuu
 
Kuna wkt Fulani pascal ulitabiri makonda anastahili kurithi mikoba ya magu, pale uli feli big time Jo.

Hata hivyo ww ni banadam na unastahili kusamehewa maana hukujua uliwazalo, pole kwa kupigika
 
Mama kasema, anachagua Wanawake tu kwenye serikali yake. Kwahyo angalia jinsia yako Paskali.
 
Hatumpingi mama, na binafsi namwamini sana ila yeye anapaswa kujiamini asifanye mambo kwa matakwa ya watu wa pembeni awe na maono yake mwenyewe asifuate akili mbovu zinazomshauri vibaya. Ndio maana JPM alikuwa mkali hadi akasema kuna wastaafu wanawashwa washwa.
 
Well said
 
Mkuu fact
 
Umpe muda mtu anaekutoboa na bisi bisi ya moto? Hebu kuwa serious kidogo mzee, ni rahisi kumvumilia mtu ikiwa anakupooza machungu kwa namna flani!

Hata baba mlevi huvumiliwa sababu analeta unafuu wa maisha kwa familia kwa kulipa bill zote japo anakera kwa ulevi!
 
Msimu wa kilimo umefika twende shamba tukalime,acha kulamba miguu wanasiasa,teuzi zilishaisha tupambane na hali zetu,acha Msoga kwa sasa wajidai na nchi yao!
 
Kwakweli hawamtendei haki Mama, anajitahidi sana kazi anayoifanya sasa sio ya kubeza nafikiri sote tunaona jinsi kesi zinavyopanguliwa na mambo mengine kama hayo.

Tumpe muda na tumsaidie kwa kufanya kazi zetu kwa weledi.
Atuondolee kero kwanza ndio tumvumilie otherwise spana zitaendelea tu! Huwezi kubariki uporaji wa fedha za raia kingese tu bila kujali wakati unajua fika mambo ni tight mno!
 
Naunga mkono hoja
Hivyo hata hili la milioni na bilioni, ni kosa la kawaida sana tusilifanye nongwa.
P
 
Mibavicha ndio haina akili kabisa!

Mwanzo ilikuwa inamsifia sana! Alipofanya uteuzi wa kuwateua kina Nassari na Lijuakli ndio ikawa kama mbogo!

Nawaulizeni nyie mabavicha, hivi mlifikiri mama atafanya kwa matakwa yenu na si ccm?
Akina Nassari hawakuteuliwa na Samia , waliteuliwa na TISS
 

tunatakiwa tutoke huku twenda kwa kuzingatia uwezo, weledi na uzoefu kwa maslahi mapana ya taifa na hasa ukizingatia kuna tatizo kubwa la ajira kwa vijana
 
Tuliambiwa Urais ni Taasisi , sasa kumbe ni wa Samia tu !
Urais una kitu kinachoitwa "duality" yaani vitu viwili in one. Hivyo rais ana dual personalities, 1. Rais ni binadamu, a human being anayeitwa Samia Suluhu Hassan, huyu ni binadamu kama binaadamu mwingine yoyote, anaishi Ikulu, ni nyumbani kwake, she eats, sleep, she has feelings, she can be angry, happy, she can cry etc, and is capable of doing everything a human can do including doing mistakes.

2. Rais ni presidential institution, yaani huyu ni taasisi ya urais, its not human, taasisi hii unaishi Ikulu ambapo ni mahala patakatifu, rais ni mtakatifu na hawezi kukosea ndio maana hawezi kushitakiwa. Ile kinga ya rais kutokushitakiwa ni kutokana na hii institution hivyo rais yule human being, anakuwa shielded by the institution part of her.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…