Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Hapa ishu ni katba tu
Mkuu mi sikubaliani na wewe,Uraisi ni taasisi,sio mtu mmoja,
Haya mambo ya kuamka na kufsnya teuzi kama vile anateua shoga zake wakwenda nae ngomani yanakera,
Unateuaje viongozi waovyo,ambao clip zao wakifsnya mambo ya hovyo mtaani zipo kibao,hao intelligensia wanafanya Kazi gani!?Kwanini hateui watu kama Antony Mtaka,unaenda kutuletea Almasi Nyangasa!kwa kipi kikubwa alichofanya?
Kipindi Bety Mkwasa anateuliwa kuwa DC,nchi ilimuona kwa juhudi zake za kutoa Elimu ya ukimwi,sasa Hawa Kina Nick wa pili,Mwaipaya,wamefanya nini?
Kwanini anateua watu wa hovyo kabisa,si bora hata Ukampa Diamond unaibu waziri.
Nchi inawatu milioni 50+,unateua mijitu ambayo Haina accomplishment yoyote duniani,zaidi ya Swaga za ujana,wapo vijana wadogo Wana PHD,masters zao kwenye vyuo,wapo vijana wanapiga biashara kama Vunja bei,kwanini uwapi hao vyeo kwenye wilaya za kimkakati Ili walete Mawazo mapya,Hawa kina Mwaipaya,sasa hv wanawaza jinsi ya kuongeza kiwanja,kumaliza nyumba ya kupanga,hakuna kitu hapo
 
Ukimuuliza Bi Mkubwa hili, atakwambia anamuenzi JPM kama vile hapo awali yeye alivyowateua Jokate, Patrobas Katambi na Always Happi. Kwa kweli miaka hii mingapi sijui hadi tumpate Rais wa maana, tumepigwa sana!!!
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za kwa Maslahi kwa Taifa" makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu tuu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, ila tusikalie kumlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ambayo sio ya kwake, yale makosa ya kukoseshwa na vyombo vyake, yakiwemo uteuzi ea baadhi ya watu wa hovyo. Nashauri kwanza tumvumilie, kisha tumpe muda, atarekebisha makosa madogo madogo with time.

Declaration of Interest
Humu jf, kumezuka mtindo, ukisifia tuu jambo lolote zuri la viongozi wetu, unanyooshewa vidole kuwa unausaka u-DC, na ukikosoa lolote, unanyooshewa kidole cha hizo ni hasira za kuukosa uteuzi.

Naomba ku decrare, mimi Pascal Mayalla nikisifia, sisifii ili kuutafuta uteuzi, wanaosifia kwa ajili ya kutafuta uteuzi, kazi yao itakuwa ni kusifia tuu mwanzo mwisho.

Mimi husifu penye kustahili sifa na hukosoa kwenye makosa, ila ukosoaji wangu ni constructive cricisisim, nikikosoa na hapo hapo kushauri nini cha kufanyika.

Mimi kwa shughuli zangu za PPR, nachangia kuwalipa mishahara ya mwaka mzima RC, DC na Mkurugenzi, kitu ninachokihitaji kwa Mama Samia, ni kuboresha tuu mazingira ya biashara, PPR irudishiwe zile tenda zake za serikali, tumsaidie Mama Samia, kulipa mishahara ya ma RC, DC na Wakurugenzi.

Japo mkubwa ni jalala, na ukiwa kiongozi ni lazima uwe na ngozi ngumu, lakini tusimsakame Mama Samia kwa makosa ambayo sio makosa yake bali ni anakuwa ameshauriwa vibaya.

Pili, Mama, Samia sio malaika ni binadamu tuu, kama binaadamu wengine, hivyo anaweza kukosea kama, binadamu wengine wowote, hivyo tujenge tabia ya uvumilivu kwa yale madogo madogo ya kibinaadamu.

Nakiri kupandisha bandiko kufuatia kelele nyingi za shutuma, lawama, kumsakama Mama Samia kwenye uteuzi wa baadhi ya watu. Mfano ni bandiko hili

Mkuu Nyani Ngabu, kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tu.

Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.

Hayo makorokocho na Gigy ni personal private matter akiwa under influence of alcohol. Kuvuja kwa hizo video ni kuingilia privacy zake, kama tutapekenyeua privacy za kila mtu kwa kutumia a hidden camera, hakuna msafi, na hakuna atakayebaki !.

Mwisho, with due respect, umetumia lugha kali mno na very harsh kwa mtu gentle kama Mama Samia.

Maneno kama
"What the hell is wrong with you Samia?"
"Shameful! Repulsive! Disgusting!"
"shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?"
"Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?"
are unclalled for kwa mtu mwenye sifa kama za Mama Samia, wote tunajua vetting hafanyi yeye, yeye analetewa tuu majina, hivyo maneno makali haya, hayamstahili, mtu mwema, mpole, mstaarabu, mwelewa, mnyenyekevu kama Mama Samia.

Na kwa kuongezea, tofauti kubwa ya mwanaume na mwanamke sio physiological on sex tuu ya being male and female, bali ni psychologogal, men thinks, women feels, ukimtukana mwanaume kwa maneno makali hata matusi, mwanaume can take it na isiwe a big deal, kwasababu ana ngozi ngumu, lakini kwa mwanamke, it's not, hawa wana ngozi laini, naomba usiyalize yale macho, ukayarowesha kwa machozi, utatuumiza wengi!. Please lets spare this lovely lady kwenye baadhi ya mambo.

Just look at her Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

Nasisitiza tusimtoe machozi mtu mwenye macho haya...

Hitimisho
Kama ambavyo hatukumpangia Magufuli, nashauri pia tusimpangie Samia, tuepuke matukano, lugha za machukizo, ukali kebehi, kubagaza, tuendelee kumkosoa kwa lugha ya heshima, staha, kistaarabu kwa nia ya kujenga, huku tukikosoa constructively kwa nia ya kujenga huku tukishauri, the right thing to do.

Paskali

Paskali bana, una ubendera fulani fuata upepo, hili neno kuwa hatukumpangia Magufuli huwa linasemwa humu mitandaoni, na ww ukalibeba kama lilivyo, kisha unalitumia katika kujenga hoja zako! Kwa taarifa kinachofanyika humu mitandaoni sio kumpangia rais, bali watu wanatoa mitazamo yao, hivyo ni juu ya rais kufuata ama kuacha. Huyo Magufuli mpaka anaingia kuzimu teuzi zake nyingi tulizipinga, ila alikuwa mtu wa kushupaza shingo. Labda uweke bandiko la hizo teuzi zake, tuone watu wakimsifia kwenye hicho unachoiita kutokupangiwa.
 
Mkuu mi sikubaliani na wewe,Uraisi ni taasisi,sio mtu mmoja,
Haya mambo ya kuamka na kufsnya teuzi kama vile anateua shoga zake wakwenda nae ngomani yanakera,
Unateuaje viongozi waovyo,ambao clip zao wakifsnya mambo ya hovyo mtaani zipo kibao,hao intelligensia wanafanya Kazi gani!?Kwanini hateui watu kama Antony Mtaka,unaenda kutuletea Almasi Nyangasa!kwa kipi kikubwa alichofanya?
Kipindi Bety Mkwasa anateuliwa kuwa DC,nchi ilimuona kwa juhudi zake za kutoa Elimu ya ukimwi,sasa Hawa Kina Nick wa pili,Mwaipaya,wamefanya nini?
Kwanini anateua watu wa hovyo kabisa,si bora hata Ukampa Diamond unaibu waziri.
Nchi inawatu milioni 50+,unateua mijitu ambayo Haina accomplishment yoyote duniani,zaidi ya Swaga za ujana,wapo vijana wadogo Wana PHD,masters zao kwenye vyuo,wapo vijana wanapiga biashara kama Vunja bei,kwanini uwapi hao vyeo kwenye wilaya za kimkakati Ili walete Mawazo mapya,Hawa kina Mwaipaya,sasa hv wanawaza jinsi ya kuongeza kiwanja,kumaliza nyumba ya kupanga,hakuna kitu hapo
Mama kweli hapi kakosea kabisa, Mtu kama Nik wa Pili [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mibavicha ndio haina akili kabisa!

Mwanzo ilikuwa inamsifia sana! Alipofanya uteuzi wa kuwateua kina Nassari na Lijuakli ndio ikawa kama mbogo!

Nawaulizeni nyie mabavicha, hivi mlifikiri mama atafanya kwa matakwa yenu na si ccm?

Hamna cha ccm, kutokana na hii katiba mbovu, rais anafanya chochote atakacho kwa mapenzi yake, au ya genge la wale wanaomzunguka. Hiyo unayoita ccm inatumika tu kufanikisha agenda za walioshika mpini.
 
Acha utoto.....
jamaa akitoa maoni yake tu anatafuta teuzi!!!??
Wengine wanaposoma mtu anamwambia Paschal kuwa anatafuta teuzi na wao wanaiga kwa kufuata mkumbo tu. Wamejaa wa aina hiyo.

Kutafuta teuzi sio dhambi, ikiwa wanasiasa wakubwa wanatumia pesa nyingi kujenga mitandao ya marafiki ili siku moja waje kupata nafasi ya urais wa nchi kuna ubaya gani kwa mtu mmoja kuwa na ndoto za kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au kupewa cheo kingine kikubwa?. Bado humu JF kuna wenye kuendekeza utoto.
 
Kwakweli hawamtendei haki Mama, anajitahidi sana kazi anayoifanya sasa sio ya kubeza nafikiri sote tunaona jinsi kesi zinavyopanguliwa na mambo mengine kama hayo.

Tumpe muda na tumsaidie kwa kufanya kazi zetu kwa weledi.
Hakuna Rais anayechaguliwa kwa ajili ya kupangua makesi maswala ya kesi ni mfumo wa kisheria na kimahakama niambie tu toka ameingia ameshashugulikia mfumo wa kisheria na mahakama kuwe na haki hata siku akiwa amestaafu watu wasionewe?
 
Mkuu mi sikubaliani na wewe,Uraisi ni taasisi,sio mtu mmoja,
Haya mambo ya kuamka na kufsnya teuzi kama vile anateua shoga zake wakwenda nae ngomani yanakera,
Unateuaje viongozi waovyo,ambao clip zao wakifsnya mambo ya hovyo mtaani zipo kibao,hao intelligensia wanafanya Kazi gani!?Kwanini hateui watu kama Antony Mtaka,unaenda kutuletea Almasi Nyangasa!kwa kipi kikubwa alichofanya?
Kipindi Bety Mkwasa anateuliwa kuwa DC,nchi ilimuona kwa juhudi zake za kutoa Elimu ya ukimwi,sasa Hawa Kina Nick wa pili,Mwaipaya,wamefanya nini?
Kwanini anateua watu wa hovyo kabisa,si bora hata Ukampa Diamond unaibu waziri.
Nchi inawatu milioni 50+,unateua mijitu ambayo Haina accomplishment yoyote duniani,zaidi ya Swaga za ujana,wapo vijana wadogo Wana PHD,masters zao kwenye vyuo,wapo vijana wanapiga biashara kama Vunja bei,kwanini uwapi hao vyeo kwenye wilaya za kimkakati Ili walete Mawazo mapya,Hawa kina Mwaipaya,sasa hv wanawaza jinsi ya kuongeza kiwanja,kumaliza nyumba ya kupanga,hakuna kitu hapo
DC anaripo asubuhi kesho anaondolewa, hovyo kabisa
 
Huku mtaani wanasema raisi anayeongoza nchi kwa sasa ni Mstaafu Kikwete eti Mama ni Bendera tu.
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za kwa Maslahi kwa Taifa" makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu tuu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, ila tusikalie kumlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ambayo sio ya kwake, yale makosa ya kukoseshwa na vyombo vyake, yakiwemo uteuzi ea baadhi ya watu wa hovyo. Nashauri kwanza tumvumilie, kisha tumpe muda, atarekebisha makosa madogo madogo with time.

Declaration of Interest
Humu jf, kumezuka mtindo, ukisifia tuu jambo lolote zuri la viongozi wetu, unanyooshewa vidole kuwa unausaka u-DC, na ukikosoa lolote, unanyooshewa kidole cha hizo ni hasira za kuukosa uteuzi.

Naomba ku decrare, mimi Pascal Mayalla nikisifia, sisifii ili kuutafuta uteuzi, wanaosifia kwa ajili ya kutafuta uteuzi, kazi yao itakuwa ni kusifia tuu mwanzo mwisho.

Mimi husifu penye kustahili sifa na hukosoa kwenye makosa, ila ukosoaji wangu ni constructive cricisisim, nikikosoa na hapo hapo kushauri nini cha kufanyika.

Mimi kwa shughuli zangu za PPR, nachangia kuwalipa mishahara ya mwaka mzima RC, DC na Mkurugenzi, kitu ninachokihitaji kwa Mama Samia, ni kuboresha tuu mazingira ya biashara, PPR irudishiwe zile tenda zake za serikali, tumsaidie Mama Samia, kulipa mishahara ya ma RC, DC na Wakurugenzi.

Japo mkubwa ni jalala, na ukiwa kiongozi ni lazima uwe na ngozi ngumu, lakini tusimsakame Mama Samia kwa makosa ambayo sio makosa yake bali ni anakuwa ameshauriwa vibaya.

Pili, Mama, Samia sio malaika ni binadamu tuu, kama binaadamu wengine, hivyo anaweza kukosea kama, binadamu wengine wowote, hivyo tujenge tabia ya uvumilivu kwa yale madogo madogo ya kibinaadamu.

Nakiri kupandisha bandiko kufuatia kelele nyingi za shutuma, lawama, kumsakama Mama Samia kwenye uteuzi wa baadhi ya watu. Mfano ni bandiko hili

Mkuu Nyani Ngabu, kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tu.

Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.

Hayo makorokocho na Gigy ni personal private matter akiwa under influence of alcohol. Kuvuja kwa hizo video ni kuingilia privacy zake, kama tutapekenyeua privacy za kila mtu kwa kutumia a hidden camera, hakuna msafi, na hakuna atakayebaki !.

Mwisho, with due respect, umetumia lugha kali mno na very harsh kwa mtu gentle kama Mama Samia.

Maneno kama
"What the hell is wrong with you Samia?"
"Shameful! Repulsive! Disgusting!"
"shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?"
"Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?"
are unclalled for kwa mtu mwenye sifa kama za Mama Samia, wote tunajua vetting hafanyi yeye, yeye analetewa tuu majina, hivyo maneno makali haya, hayamstahili, mtu mwema, mpole, mstaarabu, mwelewa, mnyenyekevu kama Mama Samia.

Na kwa kuongezea, tofauti kubwa ya mwanaume na mwanamke sio physiological on sex tuu ya being male and female, bali ni psychologogal, men thinks, women feels, ukimtukana mwanaume kwa maneno makali hata matusi, mwanaume can take it na isiwe a big deal, kwasababu ana ngozi ngumu, lakini kwa mwanamke, it's not, hawa wana ngozi laini, naomba usiyalize yale macho, ukayarowesha kwa machozi, utatuumiza wengi!. Please lets spare this lovely lady kwenye baadhi ya mambo.

Just look at her Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

Nasisitiza tusimtoe machozi mtu mwenye macho haya...

Hitimisho
Kama ambavyo hatukumpangia Magufuli, nashauri pia tusimpangie Samia, tuepuke matukano, lugha za machukizo, ukali kebehi, kubagaza, tuendelee kumkosoa kwa lugha ya heshima, staha, kistaarabu kwa nia ya kujenga, huku tukikosoa constructively kwa nia ya kujenga huku tukishauri, the right thing to do.

Paskali
Paskali katika UBORA wako .....

Iko siku VETTING itakuona hata UDED....madini yamejaa kwako.....

#KaziInaendelea
 
Huku mtaani wanasema raisi anayeongoza nchi kwa sasa ni Mstaafu Kikwete eti Mama ni Bendera tu.
Labda mtaani/mitaani kwenu....

Huku mtaani kwetu wanasema nchi inaongozwa vyema na mh.Samia Suluhu Hassan!!!

#KaziIendelee
 
Nakuunga mkono ndugu yangu Paschal Mayalla watu waache kuongea ongea kusema wakubwa wa nchi hii haipendezi kabixa
 
Sawa kwa kuwa Magufuli hakuwa binadamu hakupaswa kukosea wala kusamehewa.

Upuuzi tu kila pahala ni mizengwe mwanzo mwisho.

Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za kwa Maslahi kwa Taifa" makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu tuu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, ila tusikalie kumlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ambayo sio ya kwake, yale makosa ya kukoseshwa na vyombo vyake, yakiwemo uteuzi ea baadhi ya watu wa hovyo. Nashauri kwanza tumvumilie, kisha tumpe muda, atarekebisha makosa madogo madogo with time.

Declaration of Interest
Humu jf, kumezuka mtindo, ukisifia tuu jambo lolote zuri la viongozi wetu, unanyooshewa vidole kuwa unausaka u-DC, na ukikosoa lolote, unanyooshewa kidole cha hizo ni hasira za kuukosa uteuzi.

Naomba ku decrare, mimi Pascal Mayalla nikisifia, sisifii ili kuutafuta uteuzi, wanaosifia kwa ajili ya kutafuta uteuzi, kazi yao itakuwa ni kusifia tuu mwanzo mwisho.

Mimi husifu penye kustahili sifa na hukosoa kwenye makosa, ila ukosoaji wangu ni constructive cricisisim, nikikosoa na hapo hapo kushauri nini cha kufanyika.

Mimi kwa shughuli zangu za PPR, nachangia kuwalipa mishahara ya mwaka mzima RC, DC na Mkurugenzi, kitu ninachokihitaji kwa Mama Samia, ni kuboresha tuu mazingira ya biashara, PPR irudishiwe zile tenda zake za serikali, tumsaidie Mama Samia, kulipa mishahara ya ma RC, DC na Wakurugenzi.

Japo mkubwa ni jalala, na ukiwa kiongozi ni lazima uwe na ngozi ngumu, lakini tusimsakame Mama Samia kwa makosa ambayo sio makosa yake bali ni anakuwa ameshauriwa vibaya.

Pili, Mama, Samia sio malaika ni binadamu tuu, kama binaadamu wengine, hivyo anaweza kukosea kama, binadamu wengine wowote, hivyo tujenge tabia ya uvumilivu kwa yale madogo madogo ya kibinaadamu.

Nakiri kupandisha bandiko kufuatia kelele nyingi za shutuma, lawama, kumsakama Mama Samia kwenye uteuzi wa baadhi ya watu. Mfano ni bandiko hili

Mkuu Nyani Ngabu, kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tu.

Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.

Hayo makorokocho na Gigy ni personal private matter akiwa under influence of alcohol. Kuvuja kwa hizo video ni kuingilia privacy zake, kama tutapekenyeua privacy za kila mtu kwa kutumia a hidden camera, hakuna msafi, na hakuna atakayebaki !.

Mwisho, with due respect, umetumia lugha kali mno na very harsh kwa mtu gentle kama Mama Samia.

Maneno kama
"What the hell is wrong with you Samia?"
"Shameful! Repulsive! Disgusting!"
"shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?"
"Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?"
are unclalled for kwa mtu mwenye sifa kama za Mama Samia, wote tunajua vetting hafanyi yeye, yeye analetewa tuu majina, hivyo maneno makali haya, hayamstahili, mtu mwema, mpole, mstaarabu, mwelewa, mnyenyekevu kama Mama Samia.

Na kwa kuongezea, tofauti kubwa ya mwanaume na mwanamke sio physiological on sex tuu ya being male and female, bali ni psychologogal, men thinks, women feels, ukimtukana mwanaume kwa maneno makali hata matusi, mwanaume can take it na isiwe a big deal, kwasababu ana ngozi ngumu, lakini kwa mwanamke, it's not, hawa wana ngozi laini, naomba usiyalize yale macho, ukayarowesha kwa machozi, utatuumiza wengi!. Please lets spare this lovely lady kwenye baadhi ya mambo.

Just look at her Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

Nasisitiza tusimtoe machozi mtu mwenye macho haya...

Hitimisho
Kama ambavyo hatukumpangia Magufuli, nashauri pia tusimpangie Samia, tuepuke matukano, lugha za machukizo, ukali kebehi, kubagaza, tuendelee kumkosoa kwa lugha ya heshima, staha, kistaarabu kwa nia ya kujenga, huku tukikosoa constructively kwa nia ya kujenga huku tukishauri, the right thing to do.

Paskali
Anybody can get it!

Nilimsema sana Magufuli kuhusu Makonda.

Nitamsema Samia pia.

She shouldn’t be mollycoddled just because she’s a woman.

No way! No how!

Makosa mengine unaona kabisa kuna tatizo sehemu na hyo sehemu isiporekebishwa itatuletea matatizo huko mbele ya safari ... sehemu yanyewe ni katika teuzi zake mpk unajiuliza hv kuna vetting kweli au kuna madalali wa hz teuzi ? Unafanya teuzi less than 24hrs unatengua teuzi yako , kuna watu wengine mpk unajiuliza hv huyu kweli ?

Hakuna jambo la hatari kusafiri porini usiku huku taa za gari zote ni mbovu kwa maana haziwaki au zinawaka na kuzima akumbuke wateuzi wake ndio taa zake akifikiria 2025 ambayo hakuna alieiona , akashindwa kufikiria maisha ya kila siku ya watu milion 60 binafsi naona kabisa tuendapo Mwanga wake ni mdogo sana kulinganisha na tulipotoka ..

Kuna madalali wa hizi teuzi , wakiambiwa watafute watu ni ulaji kwao
 
Back
Top Bottom