Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
hawa madogo wa humu, wengi hawa uwezo wa kusoma in between the lines.Wewe ndiye huna akili mkuu, rudi shule ukasome. Mkuu Pascal Mayalla njoo huku uwaone vijana wako wa JF waliokosa akili ya kuchambua mambo.
Mkuu nakukubali sana brother. Take five!hawa madogo wa humu, wengi hawa uwezo wa kusoma in between the lines.
Mimi namuunga mkono Mama kama nilivyo muunga mkono Blaza wangu Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
P
Vizuri Sana.Kizimkazi ni sebuleni kwangu mkuu.
Asante kwa ushauri mkuu. Mimi wasiwasi wangu naona ameanza na vimiradi vidogo sana tofauti na mtangulizi wake, Dr Magufuli.Hayo ya vizazinvya sasa na vijavyo.. vina shida gani?
Kujenga watoto na wananchi kihivyo Mimi naona Kuna faida kwa ujenzi wa kuwa na wenye uelevu na ujuzi na ukomavu pia..
Muhimu vitumike vizuri kwa makusufio ya waliowapelekea sio vije vichakae
Hayo mengine alitaka anaweza kufanya baadae..
Sports sio kitu Cha kudharau kabisa...
Kazi iendeleee
Wamefungua Mabenki 2 ila wananchi wao hawana uwezo wa kipesa.Kwa hiyo unadhani ndio maana mama ameona awapelekee miradi ya michezo badala ya elimu?
Kuna jambo unafeli sana.Everybody is "unique"!Wewe ulizubaishwa alivyokuambia wanafanana na Magufuli?Big failure!Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi kwa kila Mtanzania mwenye akili zilizotimia.
Baada ya Dr Samia kushika madaraka anajaribu kufuata nyayo za Magufuli lakini ameshindwa kuzifuata sawasawa. Tukumbuke Magufuli alipeleka Chato mbuga ya wanyama, uwanja wa ndege wa kimataifa, hospitali ya kanda, mabenki, ujenzi wa vivuko vya majini, ujenzi wa barabara kila kona ya Chato na mambo mengine kadha wa kadha. Mtu kwao.
Sasa wewe fikiria Magufuli kapeleka kwao mambo yote haya halafu Dr Samia (chifu Hangaya) yeye anapeleka akademi ya mpira na matamasha ya “Usiku wa mama Samia”. Hivi huyu Rais kweli ana uzalendo wa kutosha kwa watu wa Kizimkazi kama Magufuli alivyokuwa serious na Chato? Mimi tpaul nasema huyu mama hana uzalendo na mahali alipotoka.
Hafai kwa kula wala kwa kulumangia. Hivi anawaonaje au anawachukuliaje watu wa Kizimkazi kwa kuwapelekea matamasha na viwanja vya mpira wakati wazanzibar mambo ya mpira sio kipaumbele chao?
View attachment 2734237
Mama aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Iweje leo aende tofauti na Magufuli kama sio kukengeuka? Inasikitisha sana. Mtu kuwa pamoja na mtu sharti uwaji huo wa pamoja uhusishe matendo sio maneno matupu ambayo hayawezi kuvunja mfupa. Tafadhali sana Dr Rais Samia nakuomba uwaheshimishe wanaKizimkazi kama Magufuli alivyowaheshimisha wanaChato. Mdharau kwao ni mtumwa. Usiwe mtumwa Tanganyika ukasahau kwenu Zanzibar.
Nawasilisha.
Kikwao kafanya kubwa sana,ni mzalendo haswa
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi kwa kila Mtanzania mwenye akili zilizotimia.
Baada ya Dr Samia kushika madaraka anajaribu kufuata nyayo za Magufuli lakini ameshindwa kuzifuata sawasawa. Tukumbuke Magufuli alipeleka Chato mbuga ya wanyama, uwanja wa ndege wa kimataifa, hospitali ya kanda, mabenki, ujenzi wa vivuko vya majini, ujenzi wa barabara kila kona ya Chato na mambo mengine kadha wa kadha. Mtu kwao.
Sasa wewe fikiria Magufuli kapeleka kwao mambo yote haya halafu Dr Samia (chifu Hangaya) yeye anapeleka akademi ya mpira na matamasha ya “Usiku wa mama Samia”. Hivi huyu Rais kweli ana uzalendo wa kutosha kwa watu wa Kizimkazi kama Magufuli alivyokuwa serious na Chato? Mimi tpaul nasema huyu mama hana uzalendo na mahali alipotoka.
Hafai kwa kula wala kwa kulumangia. Hivi anawaonaje au anawachukuliaje watu wa Kizimkazi kwa kuwapelekea matamasha na viwanja vya mpira wakati wazanzibar mambo ya mpira sio kipaumbele chao?
View attachment 2734237
Mama aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Iweje leo aende tofauti na Magufuli kama sio kukengeuka? Inasikitisha sana. Mtu kuwa pamoja na mtu sharti uwaji huo wa pamoja uhusishe matendo sio maneno matupu ambayo hayawezi kuvunja mfupa. Tafadhali sana Dr Rais Samia nakuomba uwaheshimishe wanaKizimkazi kama Magufuli alivyowaheshimisha wanaChato. Mdharau kwao ni mtumwa. Usiwe mtumwa Tanganyika ukasahau kwenu Zanzibar.
Nawasilisha.
Sawa lakini huyo Raisi wa JMT anatokea huko sasa hapo sijui mjinga ni nani? anaekubali kuongonzwa na mjinga yeye ni mjinga zaidiZaznibar ni nchi ya wajinga, wanafunzi wa kule asilimia 99 ni vichwa maji, ukitaka amini wape mtihani mmoja afu sahihisha uone.
Ulichokiandika kinashabihiana na kuakisi uwezo wa akili yakoWamefungua Mabenki 2 ila wananchi wao hawana uwezo wa kipesa.
Wale ni Mbuzi,hata uwawekee godoro watakunya hapo hapo
Mkuu bado narudia.Watu wawili tofauti hawawezi kufanana.Mind you!Kwa hii miradi uchwara aliyoipeleka kwao inaonesha bayana hawezi kufanana na Magufuli hata siku moja.
Sawa shoga,maana huko wote mashogaUlichokiandika kinashabihiana na kuakisi uwezo wa akili yako
Kwa ulicho andika hapana shaka yoyote kuwa wewe ni HAMBOOSawa shoga,maana huko wote mashoga