Pre GE2025 Rais Samia: Sisi ni Watumishi wa Wananchi na si Mabwana wala Watawala wa Wananchi

Pre GE2025 Rais Samia: Sisi ni Watumishi wa Wananchi na si Mabwana wala Watawala wa Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nliwasiliana na Moja ya mwanachi wa boma ng'ombe Hai Kilimanjaro, alinieleza kwa hasira sana jinsi alivyojiskia baada ya mama kupita na kuwapungia mkono🙋;

" Yaani tumekaa siku mbili barabarani tunamsubiri, anapita siku ya pili jion eti anapunga mkono tu,,, tena akiwa ndani ya gari, Katudharau sana!!!"🥺
 
Back
Top Bottom