Twende polepole,unapozungumzia vifo vya wazazi na watoto unazungumzia sayansi,na sio siasa,enhe Kwa data zako:-
1. Vifo vimeongezeka?,kwa asilimia ipi au namba ipi?
2. Kuwa zamani(ipi?),vifo havikuepo?,kama vimeongezeka,jibu swali namba Moja
3. Huko nyuma kupi?,unapozungumzia hakukua na vifo?,ama vilikua vichache,....jibu swali namba moja pia kama ni kweli
Mtazamo wako unaweza kua kweli,lakini mtazamo wako sio sayansi na sio sheria,endapo tu hauna data za kusindikiza cha unayoyasema