Rais Samia, suala ka Bandari umeteleza. Hekima ni kulisahihisha

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.

Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii.

Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.

Wasalaam aleikhum.
 
Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.
Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.

Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa nanchi, wenye nchi hii.

Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.

Wasalaam aleikhum.
Ahahahahaha! Sisi Sukuma Gang tupo pembeni tunawacheki tu! Ahahahahaha!!
 
Kilaza sana mzenji yule....mfano mwingine ni kampuni za kichina wanazozipa kandarasi kedekede ni kampuni za serikali
Halafu kwa ujinga wa BOT na wizara ya Ujenzi wanawalipa mabilioni ya Tshs na waChina ambao wana kausha Dollar nchini kupeleka kwao China.
Serikali ya Tz iko usingizi wa pono!
 
Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.

Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii.

Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.

Wasalaam aleikhum.
Kuna tuliohoji huko nyuma, mama kiguu na njia kila siku.

Kazi zake huko Ikulu anayezifanya nani?

Mikataba mibovu kama huu wa Bandari unaleta hisia mbaya za uhaini.
 
Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.

Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii.

Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.

Wasalaam aleikhum.
Tumpe Jina Gani kiongozi wetu?

yaani kelele zote hizi hata hastuki!!!

Ee Mwenyezi Mungu, tunatubu kwako, maana viongozi wetu wametugeukia kutuangamiza.

Naamini utatenda na kuhukumu Kwa wakati sahihi.
 
Kweli amefikia end of thinking capacity yake. Ameuza mpaka bandari za uchochoroni huko Ziwa Nyasa, Tanganyika na Victoria.
 
Hajali wala nini. Keshakunja mtonyo wako na masanduku kadhaa ya abayah mixer oud anakuchoreni tu.

Akija kuongea atatutukana wote na vijembe juu mbaya zaidi hakuna atakachofanywa.

Tuombe Mungu asitokee toto moja la mfalme litake watu weusi liwaweke kama mifugo (pet). Tutasombwa kama kina Kunta Kinte tukawe wanasesere wa watoto wa kifalme huko.
 
Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.

Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii.

Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.

Wasalaam aleikhum.
Masahihisho yafanyike lakini piga ua galagaza lazima ibinafsishwe ili kuondoa jam ya makontena.
 
Back
Top Bottom