masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kwa jina la mababu zetu kina Kinjeketile, hilo haliwezekani.Hajali wala nini. Keshakunja mtonyo wako na masanduku kadhaa ya abayah mixer oud anakuchoreni tu.
Akija kuongea atatutukana wote na vijembe juu mbaya zaidi hakuna atakachofanywa.
Tuombe Mungu asitokee toto moja la mfalme litake watu weusi liwaweke kama mifugo (pet). Tutasombwa kama kina Kunta Kinte tukawe wanasesere wa watoto wa kifalme huko.