Rais Samia, suala ka Bandari umeteleza. Hekima ni kulisahihisha

Rais Samia, suala ka Bandari umeteleza. Hekima ni kulisahihisha

20230610_062448.jpg


Ushauri wa bure, asante Prof Tibaijuka.
 
Kagame ana mchango kwenye hili wazo la kijinga.
 
Kuna mdau mmoja niliskia akisema swala la bandari halina asari yoyote kwa mtanzania sema watanzania hawana elim kuhusiana na hilo

et serikali iingie mtaani kutoa elim

chanzo: dw swahili akiwa anahojiwa wanadaresalaam mmoja
 
Jidu! Unaandika upuuzi gani ! Tunahotaji maboresho katika utendaji wa taasisi nyingi na hili limeonyesha matokeo chanya tangu kipindi cha awamu ya tatu! Ila kuna marekebisho machache yakifanyika tunaweza kukuza uchumi wetu!

Sisi wadau wa bandari tunakiri kuwa hatuna uwezo wa kumudu changamoto na ushindani uliopo wakati huu!

Kama ni kuendesha hizo bandari tuliendesha ila matokeo yake ni kipato kidogo huku mashirika mengi yakiendelea kuendeshwa kwa hasara!

Sasa kwa nini serikali isiachie wawekezaji wengine wenye uwezo ili tuweze kupata faida!

Au raha yako wewe ni kuendelea kundesha hizo taasisi kwa hasara!????
Je viongozi wa kuongoza mashirika yetu wanapatikana kutokana name uweledi au ni uteuzi wa utashi wa anayeteua, bodi nazo zinazo simamia haya mashirika nayo ya wajumbe wenye uwezo au nao ni wakisiasa, ripoti za kitaalamu nazo zinatumika au maamuzi ni ya kisiasa. Washauri wenyewe ndio Msukuma, kibajaji, walioiba mitihani
 
Kujamba ujambe wewe halafu umsingizie jirani!
Msikilize bosi wa TPA.

Anasema wamekuwa influenced na presence ya Dp world Rwanda.

Juzi tu hapa kafanya ziara Tanzania,

Jumlisha na matamanio yake ya kumiliki bandari ya Dar??
 
Anatuletea kampuni ya serikali ya Dubai, halafu anatuambia serikali haifanyi biashara! Duh!
Haaa ndo ujui Bi mkubwq ni kiazi mbatata kichwani hamna kitu halafu leo alikuwa amepanic vile ,anaamini yeye ni kichwa na anafanya vitu vya maana ,mtu asiejifunza kwa makosa ya wenzie hujufunza kwa makosa yake
 
Haaa ndo ujui Bi mkubwq ni kiazi mbatata kichwani hamna kitu halafu leo alikuwa amepanic vile ,anaamini yeye ni kichwa na anafanya vitu vya maana ,mtu asiejifunza kwa makosa ya wenzie hujufunza kwa makosa yake
Katika hili, mwachieni mama Samia ajisahihishe.
Nafikiri ujumbe umemfikia.
 
Back
Top Bottom