Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hapo sasa!Anatuletea kampuni ya serikali ya Dubai, halafu anatuambia serikali haifanyi biashara! Duh!
Kilaza sana mzenji yule....mfano mwingine ni kampuni za kichina wanazozipa kandarasi kedekede ni kampuni za serikaliAnatuletea kampuni ya serikali ya Dubai, halafu anatuambia serikali haifanyi biashara! Duh!
Upi?ukakasi wa kutisha.
Ahahahahaha! Sisi Sukuma Gang tupo pembeni tunawacheki tu! Ahahahahaha!!Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.
Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.
Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa nanchi, wenye nchi hii.
Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.
Wasalaam aleikhum.
Halafu kwa ujinga wa BOT na wizara ya Ujenzi wanawalipa mabilioni ya Tshs na waChina ambao wana kausha Dollar nchini kupeleka kwao China.Kilaza sana mzenji yule....mfano mwingine ni kampuni za kichina wanazozipa kandarasi kedekede ni kampuni za serikali
Nisamehe Mtanganyika mwenzangu!Ahahahahaha! Sisi Sukuma Gang tupo pembeni tunawacheki tu! Ahahahahaha!!
Kuna tuliohoji huko nyuma, mama kiguu na njia kila siku.Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.
Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii.
Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.
Wasalaam aleikhum.
Zaidi ya kukariri anajua hata maana ya hicho alichotamka basi!!?Anatuletea kampuni ya serikali ya Dubai, halafu anatuambia serikali haifanyi biashara! Duh!
Tumpe Jina Gani kiongozi wetu?Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.
Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii.
Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali KULISAHIHISHA, malengo yakiwa wazi kwa wenye nchi, watanzania.
Wasalaam aleikhum.
Huko ni kupatwa kwa TanganyikaAnatuletea kampuni ya serikali ya Dubai, halafu anatuambia serikali haifanyi biashara! Duh!
Hajui kama ile ni serikali anajua ni wajukuu wa mtumeAnatuletea kampuni ya serikali ya Dubai, halafu anatuambia serikali haifanyi biashara! Duh!
Waliomdanganya awapige chini haraka
Masahihisho yafanyike lakini piga ua galagaza lazima ibinafsishwe ili kuondoa jam ya makontena.Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.