kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Hakuna namna yoyote ya kukwepa katiba mpya .Tunaelekea kuzuri.
Hili la Katiba mpya mama hata ukikopa Vicoba kakope tu tutalipa.Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya.
"Suala la katiba hakuna anayelikataa, hata chama changu kimesema twende kwenye mabadiliko ya katiba. Hakuna anayelikataa lakini mdogo wangu Aikaeli anataka kasema juzi leo lifanyike. Mambo ni mengi ndani ya nchi hii lakini niwaahidi si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa ili wakanze kazi."-Rais Samia Suluhu
Katiba mpya haikwepeki tena
HakikaTunaelekea kuzuri.
Watake wasitakeKatiba mpya haikwepeki tena
Hii nchi ni ngumu Sana kuendelea kwa sababu ya uwepo wa stock kubwa ya wajinga Kama wewe.Wananchi wana njaa wanasiasa wanalilia katiba mpya.
Sasa sijui tuanze na lipi??
Unachotakiwa kujua ni kwamba huu ni utawala wa Rais Samia Suluhu na anafanya kila kitu kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu kwaiyo kama katiba mpya itasaidia kuleta maendeleo Tanzania lazima itabadilishwa maana kipaumbele cha mama ni kuijenga Tanzania mpya kwaiyo tuendelee kumuombea Rais Samia Suluhu miaka mingi zaidi ili afanikishe kujenga Tanzania mpyaYaani chadema sjui akili zenu uwa zinafanya kazi muda huo huo alafu zinazima,Kwani kikwete alisemaje kuhusu hiyo katiba na kilitokea nini...
Utawala wa kwake kivipi, yeye yupo kwa mujibu wa katiba ila kuna watu wanamwambia cha kufanya.Unachotakiwa kujua ni kwamba huu ni utawala wa Rais Samia Suluhu na anafanya kila kitu kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu kwaiyo kama katiba mpya itasaidia kuleta maendeleo Tanzania lazima itabadilishwa maana kipaumbele cha mama ni kuijenga Tanzania mpya kwaiyo tuendelee kumuombea Rais Samia Suluhu miaka mingi zaidi ili afanikishe kujenga Tanzania mpya
UVCCM na sukuma gang watapingaRais Samia Suluhu anasema mchakato wa katiba mpya unaendelea hiki ni kitu ambacho wapinzani na watanzania wengi walitamani kukisikia kweli Samia amedhamiria kuijenga Tanzania mpya...
mbulula ni mbulula tu ndio maana kina kitila mkumbo wanawambia bodaboda ni kaz nzuri huku watoto wao wakifanya kaz BOT na kwa hizo akili zenu mtazeeka na huo ujinga.Utawala wa kwake kivipi, yeye yupo kwa mujibu wa katiba ila kuna watu wanamwambia cha kufanya.
Haya nambie unadhani chadema kwann wanalalamikia katiba mpya tena kila wakishashindwa uchaguzi?
Najua hauwezi kuwa na jibu ya ili swali, ni kwamba wao wanataka kibadilishwe kile kipengere tu cha CHA TUME HURU ya uchaguzi wakiamini kuwa kikibadilishwa hicho wanaweza shinda uchaguzi na wakapata dola/wakawa madarakani.
Cha kushangaza wao tangia wametengeneza KATIBA ya chama chao hawajawai badilisha chochote mle, KATIBA ya kwao ipo kama msaafuu hakuna kuguswaaaaaa.