Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Pambalu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Kwa mawazo yetu tunaiona katiba mpya ya Kenya kuwa ni nzuri. Lakini juzi nimemshangaa wajakoya anaoponda na anatushauri Sisi tutafute katiba mpya.Hata Kenya wana Katiba mpya.
Haya nambie boda boda waache hiyo kazi wakafanye kazi gani?mbulula ni mbulula tu ndio maana kina kitila mkumbo wanawambia bodaboda ni kaz nzuri huku watoto wao wakifanya kaz BOT na kwa hizo akili zenu mtazeeka na huo ujinga.
Tunayo safar ndefu sana,Aandae fungu
Wewe una akili si mchezo!!!Swali sasa ni itakuwa ya aina gani
Erythrocyte ona watu wanaojitambua! Katiba ipi? Kama hawatakuelewa basi achana naoYaani chadema sjui akili zenu uwa zinafanya kazi muda huo huo alafu zinazima,Kwani kikwete alisemaje kuhusu hiyo katiba na kilitokea nini?,MAGU yeye sababu ya ubishi na ubabe wake alitamka wazi huo muda wa kupoteza na hela za kuchezea hakuna.
Leo mama kasema analifanyia kazi yeye na chama chake na litapita kama lilivyopita kwa watangulizi wake.
Halafu Naomba kukuuliza swali hivi Baba mwenye nyumba anaweza tunga sheria ili mpangaji wake awe na haki kuliko yeye alafu ampindue na achukue nyumba yake na mke wake awe wa kwake,uliona wapi?
MhafidhinaHata Kenya wana Katiba mpya.
So what?Hata Kenya wana Katiba mpya.
No light these are just mightified delusionsNinaanza kuona light at end of the tunnel
Katiba isiyojumhisha Artistics freedom of expressionKatika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya.
"Suala la katiba hakuna anayelikataa, hata chama changu kimesema twende kwenye mabadiliko ya katiba. Hakuna anayelikataa lakini mdogo wangu Aikaeli anataka kasema juzi leo lifanyike. Mambo ni mengi ndani ya nchi hii lakini niwaahidi si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa ili wakanze kazi."-Rais Samia Suluhu
![]()
Wananchi wana njaa wanasiasa wanalilia katiba mpya.
Sasa sijui tuanze na lipi??
Mh, mbona Mama hatumuelew elew tena! Tulishapiga makelele humu sisi kama uvccm kua katiba mpya inamsaidia nn bibi kule kijijin! Daah sa saiv anataka aanze mchakato jamani? Tutaonekanaje kweny jamii sisi uvccm!!!🚶🚶🚶Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya.
"Suala la katiba hakuna anayelikataa, hata chama changu kimesema twende kwenye mabadiliko ya katiba. Hakuna anayelikataa lakini mdogo wangu Aikaeli anataka kasema juzi leo lifanyike. Mambo ni mengi ndani ya nchi hii lakini niwaahidi si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa ili wakanze kazi."-Rais Samia Suluhu
![]()
Maishha ni kupokezana mkuuTuanze kwa kusafisha kaburi la makomeo ewe mfuasi wa Magufulification
Maishha ni kupokezana mkuu
Wewe jiandae tu zamu yako inakuja kwa hawa unaowasifia sasa.
Acha ujuha. Aliyekwambia sisi Watanzania tuna Baba mwenye Nyumba ni nani?Yaani chadema sjui akili zenu uwa zinafanya kazi muda huo huo alafu zinazima,Kwani kikwete alisemaje kuhusu hiyo katiba na kilitokea nini?,MAGU yeye sababu ya ubishi na ubabe wake alitamka wazi huo muda wa kupoteza na hela za kuchezea hakuna.