Rais Samia: Suala la Katiba hakuna anayelikataa. Si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa

mbulula ni mbulula tu ndio maana kina kitila mkumbo wanawambia bodaboda ni kaz nzuri huku watoto wao wakifanya kaz BOT na kwa hizo akili zenu mtazeeka na huo ujinga.
Haya nambie boda boda waache hiyo kazi wakafanye kazi gani?
Tanzania haina uchumi kuliko kenya wala Nigeria ila na hizo nchi Boda boda wapo kama huku,nyie mnataka watu wote tukafanye kazi BOT?
 
Akili za wafidhina ni bure kabisa zama za JK, zama za Jiwe zimepita ndugu, mama anaujua moto wa chadema akizingua na chadema wanazingua
 
Huyu Mama, alipoanza, wapo waliomdharau kuwa eti hatafanya lolote la maana. Lakini anavyoenda, bila shaka atakuwa Rais wa pili, baada ya Mwalimu, kwa umaarufu na kutenda mambo yatakayodumu vizazi na vizazi.

Marekani wana Washington, Baba wa Taifa lao, sisi tuna Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa letu. Wamarekani wana Licon wao, Baba wa demokrasia. Sisi tuna Samia wetu, Mama wa demokrasia.
 
Erythrocyte ona watu wanaojitambua! Katiba ipi? Kama hawatakuelewa basi achana nao
 
Katiba isiyojumhisha Artistics freedom of expression
Hiko ni kitabu cha mwongozo wa kisiasa tu.

hakuna chama kinachksimamia haki za wasanii kiuchumi na kulinda uhuru wa kujieleza kupitia sanaa nchini.
 
Mh, mbona Mama hatumuelew elew tena! Tulishapiga makelele humu sisi kama uvccm kua katiba mpya inamsaidia nn bibi kule kijijin! Daah sa saiv anataka aanze mchakato jamani? Tutaonekanaje kweny jamii sisi uvccm!!!🚶🚶🚶
 
Tuanze kwa kusafisha kaburi la makomeo ewe mfuasi wa Magufulification
Maishha ni kupokezana mkuu

Wewe jiandae tu zamu yako inakuja kwa hawa unaowasifia sasa.
 
Acha ujuha. Aliyekwambia sisi Watanzania tuna Baba mwenye Nyumba ni nani?
 
Upinzani wanaitwa mdogo wangu na mwanangu wanalainikia wakidhani wanapendwa.
Mixer kualikana vitafrija kumbe wanazidi kudhoofishwa.
Wakija kutahamaki 2025 hawana hoja ya msingi.

Mama anatumia tactic ya 'killing softly'. Unapigwa bisu la utosi huku ukipewa sharubati ya baridi.
 
Katiba Mpya muhimu sana , aandae tu Fungu ili tuingie kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…