HahahaAhsante Mungu kwa kutuondolea mja wako ndugu magu
Mkuu unakosea kuwatamka hao...Duuu hii nimeipenda ntaamia ccm nisifu nakuabudu kama nikiliona gazeti langu tena Tz Daima aaaaaaaah mama kumi tena aaaaaah kudadadeki oyoooopp aaaaah Mataga Keisha habari yao.
😀😀😀😀😀Mkuu unakosea kuwatamka hao...
Wanaitwa mataga chato sukuma mafiaso gang !!
Tulielekea kubaya sana kama taifaThus wajamaa awafai kabisa kupewa madaraka wao wanaamini uzalendo ni kuwa masikini
nisingejipendekeza ili nilinde heshima yangu, hata hivo jamaa alikuwa na cheo kizuri tu serikalini kabla ya hichowewe ungefanyaje?
Mlisema upinzani umekufa na kuzikwa baada ya uchaguzi feki mwaka jana! Utazikwa mara ngapi tena?upinzani unazikwa rasmi.
Huoni rais anayetoka chama cha sisiemu anasema na kuagiza wateule wake wakahakikishe wanatekeleza ilani ya sisiemu alafu bavicha wanashangilia kuwa sisiemu kwisha habari yake, unaona kuna upinzani hapo? Itafika wakati mtaamini sasa kuwa hamkua mnaibiwa kura...
Sasa boks lanlura hukupata matokeo?Mlisema upinzani umekufa na kuzikwa baada ya uchaguzi feki mwaka jana! Utazikwa mara ngapi tena?
Shikamoo mama!Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema haya...
Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe
Wewe ni muongo zaidi ya ibilisi, endelea.Nafikiri inategemeana na simu, kama feki au visimu vya ajabu ajabu hupati twitter. Mie napata bila wasiwasi no vpn..
Sasa unabisha kuwa mie sipati twitter?Wewe ni muongo zaidi ya ibilisi, endelea.
bora tu shule zifunguliwe, watoto wa sekondari mnatuchosha sana humu.Sasa unabisha kuwa mie sipati twitter?
Wana JF
Uhuru wa vyombo vya habari taratibu unaanza kurudi. Raisi Samia leo ameagiza vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe. Tusiruhusu maneno ya kwamba tunabada uhuru wa vyombo vya habari. Aidha raisi ameagiza ya kuwa pamoja na kuvifungulia wizara ihakikishe ya kuwa vyombo vyote vya habari vinafuata sheria na adhabu bado siko pale pale
Haki huinua Taifa
wadau hapa anamainisha nini.hata zile luninga ambazo zilikuwa hazionekani kwenye ving'amuzi vya ZUKU mfano ITV,STAR TV nk.au anazungumzia hivi vi online tv?Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema haya...
Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe
Ni siku ya 20 leo tangu aapishwe kuwa Raisi.Hili haliwezi kuwa zuri sana iwapo sheria zote kandamizi ile ya magazeti ya toka enzi za ukoloni na zile zilizopitishwa kwa wingi kati ya 2016 na 2020 zitabaki kama zilivyo....
Atakuwa shujaa atakayekumbukwa sana kama kauli yake hii itaenda sambamba na kuagiza marekebisho au kufutwa kwa baadhi...
Hata hivyo, tumpongeze ingalau kwa mwanzo huu, tuendelee kutoa maoni yetu, yanawezwa kufanyiwa kazi..
Mimi nashangaa! Hivi Rais wetu mpendwa anamaanisha vyombo hivyo vya habari vilionewa! Ati vilifungiwa bila kufuata sheria kweli? Sasa anaposema vifunguliwe vifuate sheria, na hizo sheria zieleweke, kwani Mwanzo walipofungiwa hizo sheria zilikuwa hazieleweki? Kutofahamu sheria si utetezi wa kukuondolea kosa.Huyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
God is Great!Sikuwahi kuhisi kama nchi itarudi huku Asante Mungu kwa ufundi wako