Nampongeza Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa huo uamuzi mzuri.
Sasa Namwomba Mh. Rais aangalie pia issue ya "Local Channels" katika Ving'amuzi vyetu, nadhani hatukufanya Analysis stahiki ya faida na hasara ya "Local Channels" kuwepo kwenye Ving'amuzi kama dstv, Azam, startime, Zuku nk. Naomba uhitaji wa kupeana (kupata) taarifa kwa wananchi lipewe kipau mbele zaidi ya mambo ya kisheria
Mh Rais, naamini dstv, Azam, startime, Zuku nk. wakiambiwa waongeze kiasi himilivu cha kodi ili kurusha " Local Channel" hawatakataa. Kwavile Mama unawapenda raia wako basi namwomba uwaonee huruma kuepuka gharama za kuwa na Ving'amuzi zaidi ya kimoja ili kupata taarifa fulani.
Ahsante