Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Mama kabadili gia angani ,hawajasikia au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liko wapi hilo andikoMama kabadili gia angani ,hawajasikia au
Wanaosema hivyo ni Team JiweSi walisema ni online tv tu...!??
Hawajasema.Si walisema ni online tv tu...!??
Kampa ufafanuz kwa mdomo msigwa hawa wazanzibar kumbe si wa kuwaaminiLiko wapi hilo andiko
Balile nalo ni mataga, ina maana hajasikia. Rubbish
Tufuate Tamko katika Hotuba haya mambo ya kumzingua Mama ataondoka na wengi, Wazanzibar sisi tuna Magazeti yetu na matatizo yetu kwani yanatoa ajira na kulipa KodiKampa ufafanuz kwa mdomo msigwa hawa wazanzibar kumbe si wa kuwaamini
Hajasikia kutoka wapi ?Balile nalo ni mataga, ina maana hajasikia. Rubbish
Bila chanjo hutoboi ndugu, kama wewe Ni mtu wa kusafiri safiriWe Jiandae na chanjo nchi inarudi ulimwenguni maana hakuna namna
Tunakushukuru kwa kielelezo kisicho na chembe ya shakaTufuate Tamko katika Hotuba haya mambo ya kumzingua Mama ataondoka na wengi, Wazanzibar sisi tuna Magazeti yetu na matatizo yetu kwani yanatoa ajira na kulipa Kodi
![]()
Samia: Kuna vyombo vya habari mlivifungia, vifungulieni
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa na kuagiza wahusika kutotumia ubabe kuvidhibiti.www.mwananchi.co.tz
kwa Msigwa kuwa ni viji Tv vya mkononi kama alivyoiita na si magazetiHajasikia kutoka wapi ?
Mama kabadili gia angani ,hawajasikia au
Walisubiri wajiridhisheMbona wamechelewa tokea jana
Duh BBC Swahili jioni hii kupitia mwandishi Egan Salah kasema Waziri Bashungwa kazifungulia TV zote za mitandaoni ila km kuna Magazetii nayo yafike Ofisini kwake wakaangalie ni makosa gani yaliyosababishaTunakushukuru kwa kielelezo kisicho na chembe ya shaka