Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Inamaanisha kuwa hata kauli za juzi kuhusu biashara, uwekezaji, tra, ni Mh. Samia zaweza zisiwe kweli au mnaharibu Image ya Mh. Rais kwa makusudi na kwa sababu zenu binafsi..??

Juzi Mh. Rais katoa direction yake na kwenye sekt ya habari kuonesha kutaka kuanzia upya mfano kauli hii. "Wafungulieni wekeni kanuni zijulikane na adhabu zijulikane kulingana na kosa".

Case study au Mfano ni Online TV, but general concept alimaanisha anataka kuanza moja na kwa mashirikiano kwenye sekta ya habari bila kubeba lawama na changamoto za zamani kwa kuwa hazikuwa clear yaani sababu za kufunga, adhabu, makosa na kanuni hazijulikani au ulikua ni utashi wa mtu binafsi (kiongozi).

Ninachokiana wizara ya habari wanataka Mh. Rais awe technical katika kila jambo yaani afanye analysis na ku pinpoint nini cha kufanya. Wanamaanisha hawana uwezo wa ku analyse content, basic na target ya Mh. Rais ilikufikia big picture (Vision) at Mh. Rais.

Madhara ya sabotage hii ni kuwa Bado Tanzania Haina nia ya dhati ya yale inayosema. Investors na development partners wanaangalia hili swala la habari kwa upana, Kuwa kumbe Rais anaweza kusema lakini watendaji wake wakagoma na hatua zozote zisichukuliwe.

Ndugu yangu Msigwa angalia sana kiburi cha Abbas kisije kukuponza.

Fungueni vyombo vya habari au kuna watu wananguvu kumzidi Rais. Tujue moja
 
Kampa ufafanuz kwa mdomo msigwa hawa wazanzibar kumbe si wa kuwaamini
Tufuate Tamko katika Hotuba haya mambo ya kumzingua Mama ataondoka na wengi, Wazanzibar sisi tuna Magazeti yetu na matatizo yetu kwani yanatoa ajira na kulipa Kodi
 
Tufuate Tamko katika Hotuba haya mambo ya kumzingua Mama ataondoka na wengi, Wazanzibar sisi tuna Magazeti yetu na matatizo yetu kwani yanatoa ajira na kulipa Kodi
Tunakushukuru kwa kielelezo kisicho na chembe ya shaka
 
Tunakushukuru kwa kielelezo kisicho na chembe ya shaka
Duh BBC Swahili jioni hii kupitia mwandishi Egan Salah kasema Waziri Bashungwa kazifungulia TV zote za mitandaoni ila km kuna Magazetii nayo yafike Ofisini kwake wakaangalie ni makosa gani yaliyosababisha
Hapa wataleta Double standard na kuuzingua mhimili
 
Back
Top Bottom