Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Wasiojulikana kwisha habaei yao. Sasa

Wasiojulikana kwisha habari yao. Sasa tutawataja hadharani.
 

Chief, inawezekana watunga sheria wakaibuka out of nowhere na kutunga sheria Fulani pasipo na haja/umuhimu wa sheria hiyo?

Una kumbukumbu yoyote ya pale uhuru wa habari (kutoa na kupokea) ulipokua umefikia kwa nyakati zile zilizopelekea ‘msukumo’ wa utunzi na upitishaji wa hizi Sheria? (Ushahidi mwingi uko humu JF!)

Sheria zote za masuala ya media & mass communications, mara hii tumesahau muhusika/wahusika wakuu?

Kipindi hizi sheria zinapambaniwa, Mhe. January Makamba alikua kasimama duara gani? Na Mhe. Nape?

Side note; Sorry Chief, sijui kwanini ila every time I read your statements, Ndugu Lissu’s voice comes to my consciousness. Sijui kwanini!
 
Nimegundua watz sio wachama tu ila wanahitaji mtu atakayetetea nchi na sio chama. Tunaona hata vyama vya upinzani vinamuunga mama mkonom

MH. SSH katika kazi za kiserikali usikubali hata kidogo kuweka mambo ya vyama vitakuharibia sana kama mwendazake.

Weka Utz kwanza hakika 2025 utapita kwa kishindo ukiruhusu demokrasia itawale ukubali kukoselewa (hapa ndipo nguvu yako itakapokuwepo) usishughulike na uchama kwenye mambo ya kitaifa hili linaleta mgawanyo. Mwendazake hili lilikua la wazi sana kwake.

MUNGU WETU AKUTETE KUSUDI LAKE KWAKO LIKATAMALAKI SSH...
 
Hahahaha sisi wengine yet macho na masikio...
 
Mzungu ni kama mwamba, ukijidai kuupiga ngumi 👊 utaumia mwenyewe. RIP Magufuli, Abacha, Chavez, Gadaffi Saddam, Mugabe nk.

Let people speak out their minds and cherish their dreams. You can't have all the people with diverse minds think alike even God did not create us that way unfortunately this is what the fallen dictators did not understand. Very sorry for them and let this serve as a lesson to all of us who are still living.
 

Unajua utawala wa mabavu ukoje? Nimekuwa nikisema mara nyingi ni hatari sana sheria za nchi kutungwa kukidhi utashi wa rais aliye madarakani.

Muhusika mkuu wa hizo sheria kandamizi alikuwa ni Magu, hao uliowataja kina Nape, Januari nk walikuwa ni wawasilishaji tu, na inawezekana pia walizikubali kwa ajili ya milo yao, na wao tuliwapa ukweli wao.

Hiyo side note, huo ni mtazamo wako, na una haki ya kuwaza utakacho maana ndio uhuru wa mawazo. Lakini sisi ni watu wawili tofauti japo tunatoka mkoa mmoja.
 
Wasiojulikana kwisha habaei yao. Sasa
Musiba yule.
Mama kaanza kuchukua ushauri wa Kigogo 14

Ni jambo lenye kutia faraja sana

Naona sasa genge la yule Veronica mwenye gololi kwenye suluwale limetupiliwa mbali
 
Naona mama naye ni mama wa ruksaa
Na sisi tutii maagizo.sio kuandika vitu tu kwa sababu ya wivu,uhasidi,uchoyo n.k Twitter ni mojawapo ya vyombo vya habari,itarudi tena kea kasi ya 5G.Magu alikuwa na chuki mpaka na Wabunge wake na wa Chama chake,waliompiku kura majimboni.Mwenyezi Mungu, Daima Milele,MKUBWA.
 
Was Magufuli the Dictator died a similar death like those of his fellow dictators Abacha, Chavez,Ghadaffi, Saadam Hussein, Mugabe etc.?
 
Safi.
Gazeti la michezo la Bingwa, Tanzania daima na mwanahalisi tuliyamis sana.

Ni kama vile tutamsahau haraka mtangulizi wake huyu Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…