Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Km meko ashapewa cheo cha mkuu wa malaika atawatuma waje wafunge internet!
 
Angekuwa anaamini katika uhuru wa habari asingesema malalamiko ya waandishi ni "mdomo mdomo kwamba tunabinya."

Samia Hassan is a lightweight, kila anachoongea huwa kinaelea tu hewani, hakina sense. Amesema walofungiwa waachiwe lakini wafuate sheria. Nani alifungiwa bila kufuata sheria? Au sheria ndio zilikuwa mbovu, aseme!

Kama walionewa kwa nini unawaambia wafuate sheria?

Makosa na adhabu yaeleweke. Kwani jambo gani halieleweki kama ni kosa ama sio kosa, kwa mfano?

Haeleweki huyu Mama.
 
MATAGA 😴😴😴😴😴😴😬😬😬😬
 
Upinzani hauwezi kufa.
 
Amenifurahisha sana kuondoa salamu zile za dini

Tumsifu Yesu kristu
Asalaam aleykum
Bwana Yesu asifiwe

Binafsi nilikuwa nachukizwa sana
 
Najua ni jambo ambalo halitakua na muda wale wakora mtafungiwa tena.
Kama amesema mfuate sheria na ninyi kufuata sheria huwa hamtaki sasa unategemea nini kitafuata?

Angesema mpewe uhuru kwa chochote bila kufuata sheria mko huru ningewaza kidogo.
Watafata sheria kama gazeti la Musiba
 
Huyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
😀 Kunguni wansagwa upande wenu Sasa, hakuna atakayekuwa na furaha ya kudumu. Ngojaaa na sisi waungwana na wenye mapenzi ya kweli na nchi tufurahi na kuindeleza nchi katika mising ya haki na usawa, nyie kaeni pembeni muone maajabu ya mungu.

MATAGA wako hoiiiiiiiioiooo
 
Ni matumaini yangu SASA hata yale Majukwaa yetu Pendwa hapa JF yatarudi.. Ili tupunguze magroup ya Telegram.. Amen
 
Anayumba kinoma! Hapa sidhani...

JPM pekee ndiye aliyekuwa na ile " killer instinct".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua ni jambo ambalo halitakua na muda wale wakora mtafungiwa tena.
Kama amesema mfuate sheria na ninyi kufuata sheria huwa hamtaki sasa unategemea nini kitafuata?

Angesema mpewe uhuru kwa chochote bila kufuata sheria mko huru ningewaza kidogo.

Aaah wapi, unadhani hatujui sheria, yale masheria kandamizi unadhani hata huyo mama hayajui? Hakukuwa na sheria zozote zilikuwa zinafuatwa kipindi cha dhalimu zaidi ya kukomoa wasiomsujudia yule muovu. Nyie mliokuwa waumini wa yule muovu, kwa huyu maana naona haendani kabisa na maagano yenu ya umwagaji damu. Itawabidi mkatafute kazi halali, maana kundi lenu la watu wasiojulikana rasmi halina mfadhili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…