Rais Samia Suluhu ajengewe mnara wa kumbukumbu


Kuvaa barakoa
 
Ilikuwaje?
Bado tusubiri kwanza......

Nakumbuka ile story ya kijana na Mwalimu wake wa Hisabati waliopotembelea nchi ya mbali ambayo kila kitu kilikuwa bei rahisi.. yaliyofuata baadaye kijana hakuamini.
 
Namsubiria akishamaliza kurekebisha "makosa" ya Magufuli nione utendaji kazi wake halafu nitarudi kuchangia hapa.

Kwa SAsa Bado mapema sana kuccoment kuhusiana na utendaji wake.

As anajificha kwenye "makosa" ya Magufuli.

Atoke kwenye hicho kivuli Cha "makosa" ya Magufuli.
 
Mkuu Kama hujui kuwa mama anaumiliki wa asilimia 99.99/0.01 dhidi ya kayafa kawaulize watumishi, waulize wanasiasa , waulize watu mitaani mbaya zaidi nenda pale mahakama kuu kaulize dakika chache wamehukumu nini
 
Asubiri afe kwanza.
 
Mama ukimaliza huko tunakuomba utupie jicho NSSF, kuna vijana walimaliza mikataba yao huko na wakarudi mitaani. Ukienda kudai mafao yako angalao upambane mtaani unapewa mafao yako 33% then hiyo nyingine hawakupi. Ni utaisotea mpaka ukate tamaa. Hiyo 33% kwanza kuipata ni mtihani. Tunakuomba mama!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…