Rais Samia Suluhu akutana na Edward Lowassa

Rais Samia Suluhu akutana na Edward Lowassa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.

Rais_wa_Tanzania%2C_Samia_Suluhu_Hassan_akisalimiana_na_Waziri_Mkuu_Mstaafu%2C_Edward_Lowassa_...jpg
 
Maisha haya kweli Mungu hupanga wakati wanadamu huwaza tu...

Mzee Lowassa yupo vizuri kabisa, wakati waliokuwa wakimkejeli kwa mipush ups miaka ile sijui hata wapo wapi...
 
Mzee Lowassa bana, jamaa wakapiga pin account zake mbili tu kati ya 4 kumsikilizia, akaona ohoo ishakuwa jau akajisalimisha lumumba fasta yeishee - ha ha ha ha
 
Maisha haya kweli Mungu hupanga wakati wanadamu huwaza tu...

Mzee Lowassa yupo vizuri kabisa, wakati waliokuwa wakimkejeli kwa mipush ups miaka ile sijui hata wapo wapi...
Sumu mliowapa umesahau?

Binadamu bhana, wanaloga alafu wanajiuliza ilikuaje.
 
Back
Top Bottom