Rais Samia Suluhu akutana na Edward Lowassa

Rais Samia Suluhu akutana na Edward Lowassa

Lowassa anavujisha namna mbowe na genge lake walivyohatari kwa usalama w nchi
To the contrary, naamini ujio wa Mama Samia kwenda kumsalimia nyumbani mzee wa amani Edward Ngoyai Lowassa , ni ishara njema kwa Mwenyekiti Mbowe.

Lowassa ana fear na aliyemuumba na hiyo imemfanya aendelee kuishi duniani kwa amani huku waliombeza afya yake kwa nyakati tofauti wakifa yeye akiwaona.

Kwamba Mbowe na Lowassa walitofautiana kisiasa, kwa Lowassa mwanasiasa mkomavu na mcha Mungu hawezi acha kutoa neno la kumsaidia Mbowe akiamini kabisa kwamba anabanbikiwa tu case kisiasa.

Wanasiasa wote hawako salama na wanajua hilo.
 
Wapi Hapo Dar Es Salaam, Arusha,Kyerwa, Kasulu, Nkwenda
 
Hivi hana kazi za kufanya mpaka nako kumtembelea Lowassa ni taarifa kwa umma? Nchi imejaa shida chungu nzima huku anazunguka tu.
kwenye Uandishi wa Habari, mtu maarufu anachokifanya ni habari. mfano wewe kupanda daladala sio Habari ila Rais kupanda daladala ni habari. Wewe acha wivu tu hiyo ni habari kwa umma kabisa Rais kumtembelea waziri Mkuu Mstaafu na mtu aliyewapa ushindani mkali kwenye Uchaguzi 2015. inaweza isiwe habari kwkao na mkeo kwa sababu ya roho mbaya zenu
 
Lazima mama ameondoka na Busara za kutosha, Mzee Lowasa si mnafiki amemueleza mama namna bora ya kukamata Madaraka. Kesi ya Mbowe itatupiliwa mbali, Lowasa na Kikwete watakutana tena, Rostam na Kinana watatokea
 
Wapi huyo mama amekua mfano wa legacy ya Mwendawazimu tulizoachiwa hawezi tena kuwa mtu.

Binafsi nilikua sipendi mzee Lowassa akutane na hawa watu kipindi hiki, wanaozunguka na kubeba na kusambaza Covid-19.
 
Kama sio hela huyu mzee angeshachomoka
Wenzako wote waliosema anachomoka wameanza wao...Mungu hana upendeleo...Kama ni pesa wangapi wanazo na bado wanachomoka? Siku yake bado kufika
 
Lazima mama ameondoka na Busara za kutosha, Mzee Lowasa si mnafiki amemueleza mama namna bora ya kukamata Madaraka. Kesi ya Mbowe itatupiliwa mbali, Lowasa na Kikwete watakutana tena, Rostam na Kinana watatokea
Mungu yupo hai!
 
Wakuu, tutafute hela tu na sisi ili tutembelewe majumbani kwetu na wenye mamlaka, kutusalimia na si kutudaka.
 
Maisha haya kweli Mungu hupanga wakati wanadamu huwaza tu...

Mzee Lowassa yupo vizuri kabisa, wakati waliokuwa wakimkejeli kwa mipush ups miaka ile sijui hata wapo wapi...

Nilisikia Mzee wa Upako ametahadharisha wale wote waliomkejeli Mzee Lowasa wakamuombe radhi.

Sijajua kama hii ziara inahusiana na utekelezaji wa hiyo kauli.
 
Kesi ya Mbowe inamuumiza sana kichwa huyu mama hapa anatafuta jinsi ya kujinasua.
 
Nilisikia Mzee wa Upako ametahadharisha wale wote waliomkejeli Mzee Lowasa wakamuombe radhi.

Sijajua kama hii ziara inahusiana na utekelezaji wa hiyo kauli.

Huenda...maana mama wakati huo alikuwa shuhuda wakati wapiga push ups wakitokwa jasho na kushangiliwa na wafuasi wao...
 
Back
Top Bottom