Rais Samia Suluhu akutana na Edward Lowassa

Laigwanan El Commandante Edward Ngoyai Lowassa💪

Siempre CCM🙏
 
Hii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.

Aisee Lowassa amegeuka kijana kabisa. Hivi ni kitu gani kilimdoofisha Sana Ile 2015 alipokuwa CCM kabla ya kutimkia Chadema? Mpaka wakamtabiria atakufa na kwamba Ikulu siyo ya Marais marehemu watarajiwa. Nashauri wakamuombe msamaha maana mpaka nguli wao alishadondoka na wengine kibao. Lowassa yupo tu na cheko lake na Sura ya kunawiri kabisa.
 
Rais wa watu huyu. Anatambua thamani ya viongozi wastaafu. Anajua Lowassa bado ana nguvu, tena turufu kisiasa. Lowassa anapendwa na WanaCCM wengi Sana na akiunga mkono imepita. Binafsi 2025 nitapiga kampeni nyumba kwa nyumba mpaka Mh. Samia ashinde kwa kishindo.
 
Hivi vichekesho tunavipata kupitia namba gani?
 
Ahsante Kwa taarifa...

Inapotezewa issue ya wamachinga hapo...

Inapotezewa kesi ya mbowe...
 
Uwanja wa vita ya korona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyovyote vile hata ikiwa korona wewe unafikili korona ingemkuta raisi ni kikwete au mama saa mbovu" mambo yangekuwaje tungepigwa lockdown na polisi wangeua watz wengi sana ,njaa na umasikini ungekuwa mara 10 ya sasa magufuli katuvusha sehemu muhimu sana
 
Hizi ni ndoto za mchana unaota.
 
Hii picha sio ya hivi karibuni ni ya zamani sababu ni hizi;
1. Lowasa wa sasa amezeeka Sana sio huyo. Like wise mama Samia.
2. Picha ya rais inapigwa ikionyesha mamlaka yake ; nyuma hapo tungeona wale walinzi ili kutosheleza itifaki.Hapo mama Samia anaonekana Kama mwanamama wa tandale kamtembelea mkuu wa mkoa na sio rais wa Tanzania kiufupi Kama hiyo pic ni kweli Basi imevunja itifaki.

Mwisho hii picha ni ya zamani Sana.
 
hizi ndio huwa tunaita bangi mbichi
 
Back
Top Bottom