Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
-Urais ni pamoja na kuchukuwa mawazo toka kwa watangulizi wako,na kuwa na kibri.Hii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.
To the contrary, naamini ujio wa Mama Samia kwenda kumsalimia nyumbani mzee wa amani Edward Ngoyai Lowassa , ni ishara njema kwa Mwenyekiti Mbowe.Lowassa anavujisha namna mbowe na genge lake walivyohatari kwa usalama w nchi
Hii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.
kwenye Uandishi wa Habari, mtu maarufu anachokifanya ni habari. mfano wewe kupanda daladala sio Habari ila Rais kupanda daladala ni habari. Wewe acha wivu tu hiyo ni habari kwa umma kabisa Rais kumtembelea waziri Mkuu Mstaafu na mtu aliyewapa ushindani mkali kwenye Uchaguzi 2015. inaweza isiwe habari kwkao na mkeo kwa sababu ya roho mbaya zenuHivi hana kazi za kufanya mpaka nako kumtembelea Lowassa ni taarifa kwa umma? Nchi imejaa shida chungu nzima huku anazunguka tu.
Hivi hana kazi za kufanya mpaka nako kumtembelea Lowassa ni taarifa kwa umma? Nchi imejaa shida chungu nzima huku anazunguka tu.
Mzee Lowassa kila akikumbuka alivyo fanyiwa ” UCHURO” na Magufuli anang’aaaa tu.😄😀Hii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.
Nyaishozi!Wapi Hapo Dar Es Salaam, Arusha,Kyerwa, Kasulu, Nkwenda
Asimpelekee tu Makorona mzee wa watu, huyu mama ni legacy ya Mwendawazimu wanaroho za kinyama sana, roho zao zinawauma sana kuona Lowassa anadunda na kung’aaaaaaaa..Nimeweka uzi huu kimkakati
Wapi huyo mama amekua mfano wa legacy ya Mwendawazimu tulizoachiwa hawezi tena kuwa mtu.Lazima mama ameondoka na Busara za kutosha, Mzee Lowasa si mnafiki amemueleza mama namna bora ya kukamata Madaraka. Kesi ya Mbowe itatupiliwa mbali, Lowasa na Kikwete watakutana tena, Rostam na Kinana watatokea
Wenzako wote waliosema anachomoka wameanza wao...Mungu hana upendeleo...Kama ni pesa wangapi wanazo na bado wanachomoka? Siku yake bado kufikaKama sio hela huyu mzee angeshachomoka
Mungu yupo hai!Lazima mama ameondoka na Busara za kutosha, Mzee Lowasa si mnafiki amemueleza mama namna bora ya kukamata Madaraka. Kesi ya Mbowe itatupiliwa mbali, Lowasa na Kikwete watakutana tena, Rostam na Kinana watatokea
Maisha haya kweli Mungu hupanga wakati wanadamu huwaza tu...
Mzee Lowassa yupo vizuri kabisa, wakati waliokuwa wakimkejeli kwa mipush ups miaka ile sijui hata wapo wapi...
Nilisikia Mzee wa Upako ametahadharisha wale wote waliomkejeli Mzee Lowasa wakamuombe radhi.
Sijajua kama hii ziara inahusiana na utekelezaji wa hiyo kauli.
Anahangaika kutafuta kuungwa mkono na wazeeHii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.
Zaidi Ni Mungu mkuu.Mkapa, Magu, kijazi Mahiga walikosa nn?Kama sio hela huyu mzee angeshachomoka