Ukichukiwa na BAVICHA hujachukiwa na wanachi.Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Kwa akili zako unaamini wote walio mchukia mtukufu wako hayati walikuwa ni BAVICHA! Watumishi wa umma wote walio dhulumiwa haki zao ni BAVICHA, Wastaafu wanaodai mafao yao ni BAVICHA, wale wakulima wa korosho walio sumbuliwa kipindi kile ni BAVICHA!Ukichukiwa na bavicha hujachukiwa na wanachi.
Akipita njia hyo zetu dua tu.Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Hao ni 2% tu ya raia wote hapa nchini.Kwa akili zako unaamini wote walio mchukia mtukufu wako hayati walikuwq ni Bavicha! Watumishi wa umma wote walio dhulumiwa haki zao ni Bavicha, Wastaafu wanaodai mafao yao ni Bavicha, wale wakukima wa korosho walio sumbuliwa kipindi kile mi Bavicha!
ok!! Basi sawa.