ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Huyu hapa yupo huku uwanja wa MangeIseee...kumbe
Waendeshaji yapo mengi ya kujifunza...au wanadhani bado ni VP,kiufupi yule tayari ni Mkuu wa Nchi..Dunia nzima inamfuatilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hapa yupo huku uwanja wa MangeIseee...kumbe
Waendeshaji yapo mengi ya kujifunza...au wanadhani bado ni VP,kiufupi yule tayari ni Mkuu wa Nchi..Dunia nzima inamfuatilia
Kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuna watu huwa wanaingia huko kwa niaba yake, hao sasa ndio watakuwa wanatwiti kwa private networksBado ..Kwaio mama anatumia vpn ???
Isee...nilikuwa sifahamu hiliHuyu hapa yupo huku uwanja wa MangeView attachment 1742515
tehWapambane na hali yao
Atachukiwa na walio wachache ukiwemo wewe kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake.Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Tuonyeshe vya hizo nchi nyingine ili tulinganishe.Ohooo huyu mama mtamboo soon,hivi akifanya kila mtu anavyotaka itakuaje?
Namuhurumia sana.
Vifurushi tz mko vizuri ukilinganisha na nchi nyingine.
Mjomba hujaambiwa anashinda mtandaoni. Mtu kuweka tweet moja mbili kwasiku ukapata na response za wananchi wako si mbaya. Magufuli alikua na account ya tweeter mbona hamkusema anashinda mtandaoniHakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Bado,ni mwendo wa vipien tuHivi ili utumie twitter huko TZ si ni hadi uwe na vipieni? au walishaiachia huru?
Bongo noma[emoji16][emoji16]Bongo raha sanaaaa[emoji7][emoji1241][emoji3531][emoji111][emoji106]
View attachment 1742434
Sihami bongo haki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wananchi tulio wengi si wanachama wa chama chochote kile cha kisiasa. Sisi tunahitaji maisha bora, utawala bora na siasa safi.Tangu lini wapinzani wakawa “wananchi walio wengi”?
🤣🤣🤣🤣🤣JPM alichukiwa na wauza ngada, mafisadi, misheni town, vyeti feki na wahujumu uchumi, sijui wewe upo kundi gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Uko na google,search.Tuonyeshe vya hizo nchi nyingine ili tulinganishe.
Tuonyeshe vya hizo nchi nyingine ili tulinganishe.
[emoji116][emoji116][emoji116]Uko na google,search.
Twitter ni wahuni?Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Tuonyeshe vya hizo nchi nyingine ili tulinganishe.
[emoji116][emoji116][emoji116]Uko na google,search.
Kwa akili yako unadhani hiyo account anajibu yeye? Wasaidizi wake ndiyo wanafanya hiyo kazi.Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Check East Africa.[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1742577
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app