Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Yaani wewe unaamini JPM alichukiwa, umati uliomuga juzi ulisombwa kwa kulazimishwa.Hakunaga kama JPM mtabaki na chuki zenu za kikabila lakini historia imeandikwa kuwa JPM alikuwa mzalendo namba 1
 
Ile akaunti sijaielewa kabisa...hao wanaoiendesha wapunguze ushamba kidogo

Akaunti ya Mkuu wa Nchi huwa haipost mambo hovyo hovyo....wafuatilie akaunti za viongozi wenzake wajifunze mambo yalivyo

Au hata kwa Mtangulizi wake Hayati JPM..

May be anayeiendesha ile akaunti ya Mama yetu Raisi inawezekana mwanamke mwenzie..... kwa sabbu wanawake kwa vijipost post hawajambo wanadhani bado ni VP......

Kiufupi yule tayari ni Mkuu wa Nchi..Dunia nzima inamfuatilia 24hrs
Ndugu yangu unawachokoza eeh, ndio wao wameshika nchi sasa, wape uhuru wao tuachane na mfumo dume sasa tuwe neutral vinginevyo watakushukia kama mwewe.
 
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Mkuu mara nyingi viongozi wakuu wa nchi sio hao wanaoendesha hizi account za social media
 
Ile akaunti sijaielewa kabisa...hao wanaoiendesha wapunguze ushamba kidogo

Akaunti ya Mkuu wa Nchi huwa haipost mambo hovyo hovyo....wafuatilie akaunti za viongozi wenzake wajifunze mambo yalivyo

Au hata kwa Mtangulizi wake Hayati JPM..

May be anayeiendesha ile akaunti ya Mama yetu Raisi inawezekana mwanamke mwenzie..... kwa sabbu wanawake kwa vijipost post hawajambo wanadhani bado ni VP......

Kiufupi yule tayari ni Mkuu wa Nchi..Dunia nzima inamfuatilia 24hrs
Hahahha yawezekana ... kwa bahati mbaya watu wengi wanajua Mama ndio huwa anakaa na simu nakuanza kupost..
 
Ukweli kipindi cha Jiwe Moyo wangu ulikosa furaha moyoni hakika sikumuona kama ana roho ya Utu... na uhakika Tanzania tutapanda juu katika Nchi zenye furaha Duniani...

Sema utapanda maana hali hiyo ulikua nayo wewe.
 
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Atachukiwa na wananchi wa jamhuri ya Twitter, aliemtangulia uliona alivyoagwa, sasa msijidanganye he was hated sababu ya chuki from fake accounts in Twitter
 
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Siyo kweli kwamba Rais aliepita alichukiwa na watu walio wengi bali the opposite yake. Na ili afanikiwe ni lazima asipitie mbali na njia aliyopita mtangulizi wake

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili zako unaamini wote walio mchukia mtukufu wako hayati walikuwq ni Bavicha! Watumishi wa umma wote walio dhulumiwa haki zao ni Bavicha, Wastaafu wanaodai mafao yao ni Bavicha, wale wakulima wa korosho walio sumbuliwa kipindi kile ni Bavicha!

ok!! Basi sawa.
Mbona hujatuweka kwenye orodha sisi wahanga wa NSSF?
 
Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo.

Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano ambapo wengi wa wachangiaji wake wamemuomba kutengua uteuzi wa waziri wa teknolojia ya habari ndugu Faustine Ndugulile na mkurugenzi mkuu wa TCRA kutokana na kutokuchukulia maanani uzito wa malalamiko yao kuhusu malipo ya bando ìla mitandao yote ya mawasiliano nchini.

Tusubiri tuone!
Mama angeachana au ashauliwe kuhusu matumizi ya mitandao
 
Msamiati utakao msaidia huyu mama na kumuongoza Ni kutenda haki tu , yeye ni mtu mzima lililo la haki analijua , lisilo haki analijua , kazi kwake kuchagua njia ya haki au isiyo haki .
 
Mkuu acha kutudanganya ,mtu anayechukiwa angeagwa kiasi kile? Mambo mengine muwe mnaona aibu kuyaandika ni bora uyazungumzie chumbani na mkeo.
Wengine sisi tulienda kuhakikisha km kweli ameondoka maana kuna kudanganyana mkatukamata tuliokuwa Bar na kuchinja mbuzi
mbona tutasahau mapema tu hayo mambo? Mama keshazuia ongezeko la Bundle na atafungua Tweeter na Uhuru wa Habari na yaliyofungiwa kufunguliwa sambamba na Wafungwa wote
 
Back
Top Bottom