Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Mama mpaka instagram yupo na verified kabisa.
 
Ile akaunti sijaielewa kabisa...hao wanaoiendesha wapunguze ushamba kidogo

Akaunti ya Mkuu wa Nchi huwa haipost mambo hovyo hovyo....wafuatilie akaunti za viongozi wenzake wajifunze mambo yalivyo

Au hata kwa Mtangulizi wake Hayati JPM..

sasa sijajua anayeiendesha ile akaunti ya Mama yetu Raisi sijui ni mwanamke mwenzie au vipi.. kwa sabbu wanawake kwa vijipost post hawajambo
Mpaka insta yupo.
 
Kuna Jambo tuliweke sawa, naona wasaidizi wa Mama Wanamislead maswala ya Mama, na hili nina Ushahidi nalo.

Juzi Mama akiapishwa alikuwa VP na punde tu baada ya kuapa akawa P, kilichotokea kwenye Ac ya Twitter waliupdate fasta kwamba ni President, means Mama haiendeshi ile Ac ila wasaidizi wake, sasa may be uko muda Mama analog in kupata taarifa mbalimbali na pia wasaidizi wake nao nawalog in kutoa taarifa, hapa ndipo utata unapoanzia. Tusimlaumu.
#Code
 
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Ehhh unadhani ni age yako ile?na siasa wadhani kaanza Leo?tulia wewe...mama anajielewa kuliko unavyodhani...
 
Back
Top Bottom