Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Hapo kwenye wengi kwa Magu hapana sema landa kanda kaskazini na majizi, wala rushwa na wadokoziAsipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.