Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Yaani wewe unaamini JPM alichukiwa, umati uliomuga juzi ulisombwa kwa kulazimishwa.Hakunaga kama JPM mtabaki na chuki zenu za kikabila lakini historia imeandikwa kuwa JPM alikuwa mzalendo namba 1Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.