Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Njia ya mnafiki utaiona tu
Unapewa za uso halafu unaamka kwa zile zile ngoma unaanza kucheza tena bila soni
Hivi kweli wanashindwa kutofautishwa lugha au wanajua mtu mpaka akufokee na kukutukana ndio ukae kimya?
Kwa rais huyu nazani tutakachovuna ni kiswahiri sanifu & misemo ya pwani baaasiiii lakini hamna kitu
Ngoma inapigwa mtandaoni wao wanademka Dodoma hadi wanasahau kama kuna Bajeti
Noma sana!
Mtu akikuambia hivi ndivyo nilivyo, muamini.Mama anawapoza wafuasi kindakindaki wa Magufuli maana bado wana uchungu sana—She is just being polite hasa ukizingatia 40 ya marehemu bado!
Tayari anajulikana ni nani, bila kura, ni Mwendazake! Na harudi tena!Ukitaka kujua Power ya JPM, fanya jaribu moja tu, utapata jibu.
Jambo lenyewe ni hili:-
Chukua picha ya JEMBE(JPM), halafu muweke mtu mwingine yeyote pembeni ya picha ya JPM.
Alika watu wapige kura kuchagua ama picha ya JPM au huyo mtu mwingine. Zoezi hilo lifanyike mchana kutwa. Kisha hesabia kura za kila mmoja. Hapo ndipo utajua JPM ni nani.
ndio maana yake .hutaki achaAhaa kwa hiyo yuko pamoja na hayati
Ndugai ajiuzulu haraka sana, amedhalilika yeye binafsi na amalidhalilisha bunge.Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli.
Kwahiyo naye atateka watu?Ndio maana yake hutaki acha
Kwa hali ilivyo hayo maneno ilikuwa lazima yasemwe hivyo.Ahaa kwa hiyo yuko pamoja na hayati
Kile kikundi kilikuwa kinatest wananchi watareact VP na hiyo move yao? Kazi ilianzia bungeni, wakaanza kugawanyika, comments za wananchi walio wengi, zinaonyesha kupendwa kwa Magu.Japo mama Kuna kipindi alikuwa kama anataka kuyumba naona wamemshika sikio kuwa hawezi kujitenga na JPM hata siku moja watu wanaona na kura za kanda ya ziwa zinaitajika sana mwaka 2025
Ameapa kulinda na kufuata katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndio nguzo kuu atakayofuata,lakini kawa Raisi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania kupitia chama cha Mapinduzi hivyo hivyo atatekeleza irani ya chama chake.Kwa hiyo na Rais Samia Suluhu Hassan naye ataisigina Katiba kama alivyokuwa akifanya mwendazake?
Kwa hiyo na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan nayo itakuwa sheria hata kama inapingana na Katiba?
Ora et Lbora, labda pengine utawaelewa baadae.Kivipi sasa...hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini?
Time will tell. Ila kwangu mimi bora nijitayarishe kuwa dissapointed halafu nijikute nilikosea kuliko kujitayarisha kwa furaha halafu nikakuta nilikosea.Ameapa kulinda na kufuata katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndio nguzo kuu atakayofuata,lakini kawa Raisi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania kupitia chama cha Mapinduzi hivyo hivyo atatekeleza irani ya chama chake...
Ufipa hawana jema bwashee!Mkuu,
Kauli imeanza kuwatesa tena?
Hapo simply wabunge wameambiwa waache mipasho, yaani Rais haupendi utoto wanaofanya wakiwa bungeni, au zaidi ni kwamba Rais hataki mbunge yeyote awaye ajipendekeze kwake, yeye anataka wafanye kilichowapeleka bungeni na hili agizo zaidi linamhusu Spika na Naibu wake kama viongozi wa hiyo mipasho.