[emoji120][emoji120] umenena vyema mkuu.Huu ujumbe ni mahsusi kwa Spika Ndungai kwani ni yeye anayelea hii mijadala ya kihuni. Anawapa muda wa nyongeza wale darasa la saba wake aliowaanda kuporomosha matusi huku wengine wakiruka ruka kushangilia huku wanakata viuno kama wacheza kigodoro vile. Aibu kubwa sana hii. Asante Mh. Rais kwa kukemea huu ujinga unaoendelea huko Bungeni.
Ndugai ni janga kabisa. Anaendekeza siasa za kibabe na kishamba. Ni aibu kabisa!