Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.
Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia Suluhu amefanikisha kuliongoza taifa hili.
Baadhi ya mambo aliyofanya Rais Samia Suluhu ni pamoja na
- Atumia mamlaka yake kuondoa maumivu ya tozo
-Aunganisha Kigoma na Gridi ya Taifa
-Kapu lake latoa Bil.160 ujenzi wa madarasa
-Samia Scholarship yaleta neema kwa wanafunzi
-Amehakikisha Tanzania tuna mahusiano mazuri na mataifa mengine kwa kuendeleza diplomasia safi.