Rais Samia Suluhu alituliza Taifa

Rais Samia Suluhu alituliza Taifa

Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.

Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia Suluhu amefanikisha kuliongoza taifa hili.

Baadhi ya mambo aliyofanya Rais Samia Suluhu ni pamoja na

- Atumia mamlaka yake kuondoa maumivu ya tozo
-Aunganisha Kigoma na Gridi ya Taifa
-Kapu lake latoa Bil.160 ujenzi wa madarasa
-Samia Scholarship yaleta neema kwa wanafunzi
-Amehakikisha Tanzania tuna mahusiano mazuri na mataifa mengine kwa kuendeleza diplomasia safi.
Chawa katika ubora wake
 
Siku hizi wanasiasa wanatengeza lundo LA machawa na kuwamwaga mitandaoni.
 
Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.

Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia Suluhu amefanikisha kuliongoza taifa hili.

Baadhi ya mambo aliyofanya Rais Samia Suluhu ni pamoja na

- Atumia mamlaka yake kuondoa maumivu ya tozo
-Aunganisha Kigoma na Gridi ya Taifa
-Kapu lake latoa Bil.160 ujenzi wa madarasa
-Samia Scholarship yaleta neema kwa wanafunzi
-Amehakikisha Tanzania tuna mahusiano mazuri na mataifa mengine kwa kuendeleza diplomasia safi.
Utulivu ya Nyoko!!!!
Una ushabiki wa kishenzi tu! Unadhani utulivu wakati akina Mwigulu wanaiba itakusaidia nini?
Unawezaje kusifgia mambo ya Tozo, nani aliyaleta?
 
raisi hupata taarifa kutoka idara zote za deriali kila siku ... kutotangaza hakumaanishi kwamba hajui kinachoendelea hapana
unajua maana ya briefying?
neno briefing basi ndio mnajikuta mnajuuuuuwa,, hayati mlisia ni mzalendo kwa kuwa hatoki ila huyu mnamsifia kwa kuzurura mkisema anafungua nchi, ameondoa tozo seriousily????? samia scholarship na kuna bodi ya mikopo ya elimu ya juu what for,, mikopo ya kapu lamama inayokwenda kwa vimama vya sisiem ni lazima uwe ccm ndio upate ubaguzi tu na siasa za kishamba, ni huyu ndio alimbandika kesi ya ugaidi Mbowe ni huyu ameleta tozo ni huyu kipindi chake mafuta yamepanda sana na gharama za maisha zimeenda juu sana ni huyu katika awamu yake ufisadi ni mwingi wa kutisha sana kila kona, ni huyu amekopa kuliko wote waliomtangulia na ni huyu huyu na chama chake wamegeuza hata mpira wa miguu kuwa sehemu za kampeni kabla ya wakati nothing good on her. Labda kwenu chawa pro max msiofanya kazi mnakula kiulaini ka kusifia viongozi ile PAYE haiwaumi
 
Utulivu ya Nyoko!!!!
Una ushabiki wa kishenzi tu! Unadhani utulivu wakati akina Mwigulu wanaiba itakusaidia nini?
Unawezaje kusifgia mambo ya Tozo, nani aliyaleta?
Machawa Masenge sana na ukiyatazama mengi sana Nyoko zao kabisa
 
Back
Top Bottom