CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
===
Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania usiku na Mchana,
===
Pamoja na kwamba Rais Samia Suluhu Hassan sio rais wa nchi ya Burundi bei ya mafuta Burundi iko juu kwanini tumlalamikie Rais wetu kwa tatizo la kidunia?
Mpaka tarehe 02|05| 2022 Warundi walinunua mafuta kwa wastani wa bei ya US$ 1.353 sawa na TZS 3.112
===
===
Sote tunafahamu, Rais Samia sio rais wa Rwanda lakini Wastani wa bei za mafuta nchini Rwanda ni US$ 1.332 sawa na TZS 3.064 kwa lita,
===
==!
Hapa kwa Mzee wetu Hechelema rol modal wa ndugu zetu wa CHADEMA nako mambo sio shwari kama mnavyoona kwenye taarifa,
Wastani wa bei za mafuta Zambia ni US$ 1.555 sawa na TZS 3,577,
CHADEMA mnasemaja kuhusu jamaa yenu kushindwa kudhiniti bei ya mafuta au na yeye hafai?
===
===
Uganda nako bei ni juu tu, Wanaomlalamikia Rais Samia kuhusu bei ya mafuta wajitafakari upya,
Bei ya Mafuta nchini Uganda ni US$ 1.480 sawa na TZS 3,404,
===
===
MALAWI, bei ya mafuta ni US$ 1.694 sawa na TZS 3,900 sijui ingekuwa hivi kwa Tanzania kelele zingekuwa za kiwango gani,Mungu atupe Uzalendo kwa viongozi wetu
===
===
Bei ya mafuta Tanzania kwa Mama Samia Suluhu Hassan ni US$ 1.354 sawa na TZS 3,100,
Watanzania kuweni makini sana na watu wasiolitakia mema Taifa hili,
Wanawapotosha kwa lengo la kutengeneza chuki baina yenu na Rais wetu anayetupenda pengine kuliko Rais yeyote tangu Uhuru wa Taifa hili,
Lazima muelewe kupanda kwa bei ya mafuta si matokeo ya Rais Samia wa CCM,
Wala si ulegevu wa CHADEMA, na wala Sio uzembe wa ACT-Wazalendo au Zitto Kabwe,
Kupanda kwa bei za mafuta wala sio ujio wa Umoja Party au kuimarika kwa NCCR-Mageuzi ya Mzee wangu James Mbatia,
Kupanda kwa bei ya mafuta ni matokeo ya kinachoendelea nje ya Tanzania,
Si Rais Samia wala Rais Kagame wanaweza kutatua changamoto hii kwani hatuna visima vya mafuta,
Kama kuna wakati kwa Watanzania kushikamana basi ni Sasa,
Tuendelee kumwomba Mungu wetu kwa bidii atunusuru na haya yote,