Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Lilongwe wiki iliyopita nimenunua petrol kwa Tsh 2730 ukigawanya kwa mbili ndio unapata Malawi Kwatcha na hiyo Nchi bei ya mafuta ni moja Nchi nzima na yanapita Tanzania mpaka kufika huko ni kama 1700Km... ishu ya mafuta Tanzania pana kodi kubwa na hao Ewura hakuna wanachokifanya...