OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 644
- 478
Zanzibar ndio nchi gani? Ila CHADEMA nyie ni majinga sanaEbu tuwekee na bei ya zanzibar tuone sio mnajiza upuuzi mwingi kwenye sever za jf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar ndio nchi gani? Ila CHADEMA nyie ni majinga sanaEbu tuwekee na bei ya zanzibar tuone sio mnajiza upuuzi mwingi kwenye sever za jf.
Dola wataisikia kwenye tv 2Rais Samia anapambana sana shida hii nchi Upinzani ni wapotoshaji sana,
Siyo chadema bana ni Sukuma ganghuyo siyo kiazi amefananisha kwakuwa chadema wanasambaza habari kuwa kwanini zambia mafuta yako chini kuliko huku yanapopita? unaona ujinga wa chadema sasa?
Acha kuwa mpuuz mtoa mada hujui nchi nyingi za afrika mashariki kama zinapokelea mafuta bandari gani!? Au kwa njia ipi!? Hvyo lazima bei zao ziwe juu sana===
Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania usiku na Mchana,
View attachment 2215033
===
Pamoja na kwamba Rais Samia Suluhu Hassan sio rais wa nchi ya Burundi bei ya mafuta Burundi iko juu kwanini tumlalamikie Rais wetu kwa tatizo la kidunia?
Mpaka tarehe 02|05| 2022 Warundi walinunua mafuta kwa wastani wa bei ya US$ 1.353 sawa na TZS 3.112
===
View attachment 2215041
===
Sote tunafahamu, Rais Samia sio rais wa Rwanda lakini Wastani wa bei za mafuta nchini Rwanda ni US$ 1.332 sawa na TZS 3.064 kwa lita,
===
View attachment 2215042
==!
Hapa kwa Mzee wetu Hechelema rol modal wa ndugu zetu wa CHADEMA nako mambo sio shwari kama mnavyoona kwenye taarifa,
Wastani wa bei za mafuta Zambia ni US$ 1.555 sawa na TZS 3,577,
CHADEMA mnasemaja kuhusu jamaa yenu kushindwa kudhiniti bei ya mafuta au na yeye hafai?
===
View attachment 2215043
===
Uganda nako bei ni juu tu, Wanaomlalamikia Rais Samia kuhusu bei ya mafuta wajitafakari upya,
Bei ya Mafuta nchini Uganda ni US$ 1.480 sawa na TZS 3,404,
===
View attachment 2215059
===
MALAWI, bei ya mafuta ni US$ 1.694 sawa na TZS 3,900 sijui ingekuwa hivi kwa Tanzania kelele zingekuwa za kiwango gani,Mungu atupe Uzalendo kwa viongozi wetu
===
View attachment 2215063
===
Bei ya mafuta Tanzania kwa Mama Samia Suluhu Hassan ni US$ 1.354 sawa na TZS 3,100,
Watanzania kuweni makini sana na watu wasiolitakia mema Taifa hili,
Wanawapotosha kwa lengo la kutengeneza chuki baina yenu na Rais wetu anayetupenda pengine kuliko Rais yeyote tangu Uhuru wa Taifa hili,
Lazima muelewe kupanda kwa bei ya mafuta si matokeo ya Rais Samia wa CCM,
Wala si ulegevu wa CHADEMA, na wala Sio uzembe wa ACT-Wazalendo au Zitto Kabwe,
Kupanda kwa bei za mafuta wala sio ujio wa Umoja Party au kuimarika kwa NCCR-Mageuzi ya Mzee wangu James Mbatia,
Kupanda kwa bei ya mafuta ni matokeo ya kinachoendelea nje ya Tanzania,
Si Rais Samia wala Rais Kagame wanaweza kutatua changamoto hii kwani hatuna visima vya mafuta,
Kama kuna wakati kwa Watanzania kushikamana basi ni Sasa,
Tuendelee kumwomba Mungu wetu kwa bidii atunusuru na haya yote,
Hao nao ni wahuni tu kama wahuni wengineSiyo chadema bana ni Sukuma gang
Lakini bei ikoje broAcha kuwa mpuuz mtoa mada hujui nchi nyingi za afrika mashariki kama zinapokelea mafuta bandari gani!? Au kwa njia ipi!? Hvyo lazima bei zao ziwe juu sana
Inabidi tu rais atetewe kama mtoto wa darasa la kwanza. Inakuwaje bei ya mafuta Rwanda na Burundi inakuwa sawa na ilivyo Tanzania wakati hawa jirani zetu wanapitisha mafuta bandarini kwetu ambapo wanalipa gharama za upakuaji na usafirishaji kwa umbali mrefu? Nyie wateteaji wa kulipwa tunawajua mpo kwenye kibarua chenu.===
Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania usiku na Mchana,
View attachment 2215033
===
Pamoja na kwamba Rais Samia Suluhu Hassan sio rais wa nchi ya Burundi bei ya mafuta Burundi iko juu kwanini tumlalamikie Rais wetu kwa tatizo la kidunia?
Mpaka tarehe 02|05| 2022 Warundi walinunua mafuta kwa wastani wa bei ya US$ 1.353 sawa na TZS 3.112
===
View attachment 2215041
===
Sote tunafahamu, Rais Samia sio rais wa Rwanda lakini Wastani wa bei za mafuta nchini Rwanda ni US$ 1.332 sawa na TZS 3.064 kwa lita,
===
View attachment 2215042
==!
Hapa kwa Mzee wetu Hechelema rol modal wa ndugu zetu wa CHADEMA nako mambo sio shwari kama mnavyoona kwenye taarifa,
Wastani wa bei za mafuta Zambia ni US$ 1.555 sawa na TZS 3,577,
CHADEMA mnasemaja kuhusu jamaa yenu kushindwa kudhiniti bei ya mafuta au na yeye hafai?
===
View attachment 2215043
===
Uganda nako bei ni juu tu, Wanaomlalamikia Rais Samia kuhusu bei ya mafuta wajitafakari upya,
Bei ya Mafuta nchini Uganda ni US$ 1.480 sawa na TZS 3,404,
===
View attachment 2215059
===
MALAWI, bei ya mafuta ni US$ 1.694 sawa na TZS 3,900 sijui ingekuwa hivi kwa Tanzania kelele zingekuwa za kiwango gani,Mungu atupe Uzalendo kwa viongozi wetu
===
View attachment 2215063
===
Bei ya mafuta Tanzania kwa Mama Samia Suluhu Hassan ni US$ 1.354 sawa na TZS 3,100,
Watanzania kuweni makini sana na watu wasiolitakia mema Taifa hili,
Wanawapotosha kwa lengo la kutengeneza chuki baina yenu na Rais wetu anayetupenda pengine kuliko Rais yeyote tangu Uhuru wa Taifa hili,
Lazima muelewe kupanda kwa bei ya mafuta si matokeo ya Rais Samia wa CCM,
Wala si ulegevu wa CHADEMA, na wala Sio uzembe wa ACT-Wazalendo au Zitto Kabwe,
Kupanda kwa bei za mafuta wala sio ujio wa Umoja Party au kuimarika kwa NCCR-Mageuzi ya Mzee wangu James Mbatia,
Kupanda kwa bei ya mafuta ni matokeo ya kinachoendelea nje ya Tanzania,
Si Rais Samia wala Rais Kagame wanaweza kutatua changamoto hii kwani hatuna visima vya mafuta,
Kama kuna wakati kwa Watanzania kushikamana basi ni Sasa,
Tuendelee kumwomba Mungu wetu kwa bidii atunusuru na haya yote,
Wasililize walio na akili si wewe CM 1774858 mpuuzi unayebwabwaja:===

Nilichokiandika ndio hiki hiki,Bei za petroli dunia nzima ziko hapa.
Angalia Tanxania ni ya ngapi na kuna nchi ngapi za Afrika zimetupita kwa unafuu wa bei.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Hapana, wewe umelinganisha nchi ambazo hazina bandari na Tanzania.Nilichokiandika ndio hiki hiki,
===
Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania usiku na Mchana,
View attachment 2215033
===
Pamoja na kwamba Rais Samia Suluhu Hassan sio rais wa nchi ya Burundi bei ya mafuta Burundi iko juu kwanini tumlalamikie Rais wetu kwa tatizo la kidunia?
Mpaka tarehe 02|05| 2022 Warundi walinunua mafuta kwa wastani wa bei ya US$ 1.353 sawa na TZS 3.112
===
View attachment 2215041
===
Sote tunafahamu, Rais Samia sio rais wa Rwanda lakini Wastani wa bei za mafuta nchini Rwanda ni US$ 1.332 sawa na TZS 3.064 kwa lita,
===
View attachment 2215042
==!
Hapa kwa Mzee wetu Hechelema rol modal wa ndugu zetu wa CHADEMA nako mambo sio shwari kama mnavyoona kwenye taarifa,
Wastani wa bei za mafuta Zambia ni US$ 1.555 sawa na TZS 3,577,
CHADEMA mnasemaja kuhusu jamaa yenu kushindwa kudhiniti bei ya mafuta au na yeye hafai?
===
View attachment 2215043
===
Uganda nako bei ni juu tu, Wanaomlalamikia Rais Samia kuhusu bei ya mafuta wajitafakari upya,
Bei ya Mafuta nchini Uganda ni US$ 1.480 sawa na TZS 3,404,
===
View attachment 2215059
===
MALAWI, bei ya mafuta ni US$ 1.694 sawa na TZS 3,900 sijui ingekuwa hivi kwa Tanzania kelele zingekuwa za kiwango gani,Mungu atupe Uzalendo kwa viongozi wetu
===
View attachment 2215063
===
Bei ya mafuta Tanzania kwa Mama Samia Suluhu Hassan ni US$ 1.354 sawa na TZS 3,100,
Watanzania kuweni makini sana na watu wasiolitakia mema Taifa hili,
Wanawapotosha kwa lengo la kutengeneza chuki baina yenu na Rais wetu anayetupenda pengine kuliko Rais yeyote tangu Uhuru wa Taifa hili,
Lazima muelewe kupanda kwa bei ya mafuta si matokeo ya Rais Samia wa CCM,
Wala si ulegevu wa CHADEMA, na wala Sio uzembe wa ACT-Wazalendo au Zitto Kabwe,
Kupanda kwa bei za mafuta wala sio ujio wa Umoja Party au kuimarika kwa NCCR-Mageuzi ya Mzee wangu James Mbatia,
Kupanda kwa bei ya mafuta ni matokeo ya kinachoendelea nje ya Tanzania,
Si Rais Samia wala Rais Kagame wanaweza kutatua changamoto hii kwani hatuna visima vya mafuta,
Kama kuna wakati kwa Watanzania kushikamana basi ni Sasa,
Tuendelee kumwomba Mungu wetu kwa bidii atunusuru na haya yote,
Ninamtetea mama kwa lugha hii; mzigo wa mafuta ni hizo tozo za serikali. Jiwe alirithi na kuongeza tozo zaidi katika miaka yake yote 5+ bila kupunguza hata moja.Inabidi tu rais atetewe kama mtoto wa darasa la kwanza. Inakuwaje bei ya mafuta Rwanda na Burundi inakuwa sawa na ilivyo Tanzania wakati hawa jirani zetu wanapitisha mafuta bandarini kwetu ambapo wanalipa gharama za upakuaji na usafirishaji kwa umbali mrefu? Nyie wateteaji wa kulipwa tunawajua mpo kwenye kibarua chenu.
Hujatumia ubongo wako wote katika kuleta hoja hii. Umesahau kama hizo nchi zote ulizotaja ni landlocked na shehena zao za mafuta zitapita katika nchi yetu ten wengi kwa kutumia usafiri wa barabara zetu. Hizo nchi tayari zimeingia gharama kubwa za usafirishaji tofauti na sisi. Hivyo Tanzania bado bei ya mafuta ilitakiwa iwe kulinganisha na hizo nchi. Kama Taifa bado tunatakiwa kufanya kitu ili angalau biei ya mafuta ishuke kidogo. Kinyume na hapo nchi inaingia katika kitu kinaitwa Hyper Inflation.===
Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania usiku na Mchana,
View attachment 2215033
===
Pamoja na kwamba Rais Samia Suluhu Hassan sio rais wa nchi ya Burundi bei ya mafuta Burundi iko juu kwanini tumlalamikie Rais wetu kwa tatizo la kidunia?
Mpaka tarehe 02|05| 2022 Warundi walinunua mafuta kwa wastani wa bei ya US$ 1.353 sawa na TZS 3.112
===
View attachment 2215041
===
Sote tunafahamu, Rais Samia sio rais wa Rwanda lakini Wastani wa bei za mafuta nchini Rwanda ni US$ 1.332 sawa na TZS 3.064 kwa lita,
===
View attachment 2215042
==!
Hapa kwa Mzee wetu Hechelema rol modal wa ndugu zetu wa CHADEMA nako mambo sio shwari kama mnavyoona kwenye taarifa,
Wastani wa bei za mafuta Zambia ni US$ 1.555 sawa na TZS 3,577,
CHADEMA mnasemaja kuhusu jamaa yenu kushindwa kudhiniti bei ya mafuta au na yeye hafai?
===
View attachment 2215043
===
Uganda nako bei ni juu tu, Wanaomlalamikia Rais Samia kuhusu bei ya mafuta wajitafakari upya,
Bei ya Mafuta nchini Uganda ni US$ 1.480 sawa na TZS 3,404,
===
View attachment 2215059
===
MALAWI, bei ya mafuta ni US$ 1.694 sawa na TZS 3,900 sijui ingekuwa hivi kwa Tanzania kelele zingekuwa za kiwango gani,Mungu atupe Uzalendo kwa viongozi wetu
===
View attachment 2215063
===
Bei ya mafuta Tanzania kwa Mama Samia Suluhu Hassan ni US$ 1.354 sawa na TZS 3,100,
Watanzania kuweni makini sana na watu wasiolitakia mema Taifa hili,
Wanawapotosha kwa lengo la kutengeneza chuki baina yenu na Rais wetu anayetupenda pengine kuliko Rais yeyote tangu Uhuru wa Taifa hili,
Lazima muelewe kupanda kwa bei ya mafuta si matokeo ya Rais Samia wa CCM,
Wala si ulegevu wa CHADEMA, na wala Sio uzembe wa ACT-Wazalendo au Zitto Kabwe,
Kupanda kwa bei za mafuta wala sio ujio wa Umoja Party au kuimarika kwa NCCR-Mageuzi ya Mzee wangu James Mbatia,
Kupanda kwa bei ya mafuta ni matokeo ya kinachoendelea nje ya Tanzania,
Si Rais Samia wala Rais Kagame wanaweza kutatua changamoto hii kwani hatuna visima vya mafuta,
Kama kuna wakati kwa Watanzania kushikamana basi ni Sasa,
Tuendelee kumwomba Mungu wetu kwa bidii atunusuru na haya yote,
Tuko vizuri tukijilinganisha na wenzetu,tuko vizuri sana,
Kilio cha wengi harusi,
Mbona ZAMBIA chadema walisema bei ni ndogo jamani, kumbe wazushi tu
Uko sahihi kabisa,Ninamtetea mama kwa lugha hii; mzigo wa mafuta ni hizo tozo za serikali. Jiwe alirithi na kuongeza tozo zaidi katika miaka yake yote 5+ bila kupunguza hata moja.
Lakini mama amepunguza na anaendelea na jitihada za kupunguza au kuziondoa. Hivyo basi sioni sababu ya mama kupigiwa kelele juu ya bei ya mafuta. Hili ni tatizo lililotoka mbali. Jiwe aliondoa road license na kuhamishia ktk mafuta, tulifurahi sana kwakuwa magari ya wengi yalikuwa na vimeo. Kumbe tulikuwa tunahamisha tatizo tunalo lalamika sasa.
Kati ya awamu zilizokubuhu kwenye tozo ni awamu ya 6 hadi karibu rais aitwe Mama Tozo.Ninamtetea mama kwa lugha hii; mzigo wa mafuta ni hizo tozo za serikali. Jiwe alirithi na kuongeza tozo zaidi katika miaka yake yote 5+ bila kupunguza hata moja.