Rais Samia Suluhu ang'aa kwenye mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City

Rais Samia Suluhu ang'aa kwenye mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City

Upuuzi mtupu, Samia kung'aa inatuhusu nini? Tena kwa gharama za wananchi??
Yote hayo yamefanyika bila malipo ? Yani 'free of charge.' Yani buree kabisa...?

Inamaana li Tanzania linapendwa kiasi hicho... Au kuna mikataba tayari imesainiwa kimyakimya...?

Au basi...
Hawa si ndio waliouziwa 25,000 acres za Mwiba Game Reserve kule Serengeti kisirisiri! Kikwete ndio maana alisabotage Rasimu ya Katiba ya wananchi kwasababu haya madudu ya kuuza Ardhi kwa wazungu na waarabu yangemtia hatiani!!
 
Back
Top Bottom