B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 May 9, 2023 #21 Abraham Lincolnn said: Upuuzi mtupu, Samia kung'aa inatuhusu nini? Tena kwa gharama za wananchi?? Click to expand... Snowden E said: Yote hayo yamefanyika bila malipo ? Yani 'free of charge.' Yani buree kabisa...? Inamaana li Tanzania linapendwa kiasi hicho... Au kuna mikataba tayari imesainiwa kimyakimya...? Au basi... Click to expand... Hawa si ndio waliouziwa 25,000 acres za Mwiba Game Reserve kule Serengeti kisirisiri! Kikwete ndio maana alisabotage Rasimu ya Katiba ya wananchi kwasababu haya madudu ya kuuza Ardhi kwa wazungu na waarabu yangemtia hatiani!!
Abraham Lincolnn said: Upuuzi mtupu, Samia kung'aa inatuhusu nini? Tena kwa gharama za wananchi?? Click to expand... Snowden E said: Yote hayo yamefanyika bila malipo ? Yani 'free of charge.' Yani buree kabisa...? Inamaana li Tanzania linapendwa kiasi hicho... Au kuna mikataba tayari imesainiwa kimyakimya...? Au basi... Click to expand... Hawa si ndio waliouziwa 25,000 acres za Mwiba Game Reserve kule Serengeti kisirisiri! Kikwete ndio maana alisabotage Rasimu ya Katiba ya wananchi kwasababu haya madudu ya kuuza Ardhi kwa wazungu na waarabu yangemtia hatiani!!