Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Chamwino Dodoma leo Novemba 20

Wakitoka hapo wanaenda kusaini posho wanatia m^takoni haoo wengine kwa madanga yao wengine kwa wake zao huku sisi tunapata adha kubwa mitaani.

Naishi Mbezi Makabe msimu huu wa mvua barabara zimekatika na zimeharibika vibaya mno hivyo kuna hujuma kubwa inafanywa na manispaa na tanrod wanaingiza magreda huku mvua zinanyesha yaani unashangaa wanachonga barabara huku maji yanatiririsha udongo then wametoa tenda ya kununua kifusi kinamwagwa kule walikoharibu wenyewe na msimu wa mvua haujaisha,kuna mbunge,kuna diwani kuna hao wanaoitwa mawaziri sijui naibu kuna makatibu wizara ya ujenzi sijui rais personally sijawahi kuuona umuhimu wao wote ni giza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ