Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Chamwino Dodoma leo Novemba 20

Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Chamwino Dodoma leo Novemba 20

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2023.

View attachment 2819875
A bunch of "YES MOTHER" GATHERING

Hakuna anayeweza kusema hili Mh Rais hapana namna hiyo hatufiki, toa katiba mpya, mawazo ya wapinzania/TEC and many other groups let their ideas be included!
 
Usikute , kwa nchii hii siyo ajabu hapo inawezekana , may be seating allowance ni milioni 10
 
Back
Top Bottom