Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Chamwino Dodoma leo Novemba 20

Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Chamwino Dodoma leo Novemba 20

Haya watuambie wameamua kuongeza tozo kiasi gani kwenye mafuta.
Maana wamesha ona Watanzania ni nyani tuu. Kila wao wanacho amua tuna kaa kama nyani. Hatuhoji.
 
Ila Tanzania inahitaji maombi,sasa mtu kama Nape na January wanamshauri nini Rais![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ni ajabu sana kwakweli! Rais alijichanganya kuzirudisha hizo nyang'au kwenye cabinet. Lakini hata yeye ameshashituka mda wowote anaweza kuzipiga chini hasa huyo Nape.
 
Back
Top Bottom