Haya watuambie wameamua kuongeza tozo kiasi gani kwenye mafuta.
Maana wamesha ona Watanzania ni nyani tuu. Kila wao wanacho amua tuna kaa kama nyani. Hatuhoji.
Ni ajabu sana kwakweli! Rais alijichanganya kuzirudisha hizo nyang'au kwenye cabinet. Lakini hata yeye ameshashituka mda wowote anaweza kuzipiga chini hasa huyo Nape.