Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi piaNaomba Mungu ombi lisikubaliwe ili tuikwepe aibu ya taa za uwanjani kuzimika na mpira kusimamia kwa masaa 2 huku dunia ikituangalia
Acha ujinga wako hapa wewe, kwani wanaoendaga kuitazama ligi kuu na kujaza uwanja wa mkapa huwa unawalipia wewe viingilio? Huwa unawasafirisha wewe?Karibu theluthi mbili ya watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku sasa ni nani atakayeenda viwanjani kutizama hizo mechi.
Samia amekuwa rais asiyejali kabisa maendeleo na badala yake ameingilia mambo ya kipuuzi kabisa ili kujaribu kusahaulisha watu na madhaifu ya utawala wake.
Huyu inatakiwa 2025 aende kabisa nyumbani kwani uongozi umemshinda kabisa.
Ndio maana ya joint bid... Nchi 3 kila moja ikiwa na viwanja 2 hivyo ni viwanja 6. Vinatosha kabisa ku-host AFCON. Tanzania tayari tuna uwanja mmoja wenye hadhiAcheni siasa kwenye mambo tusiyo na uwezo nayo!
Kiwanja kimoja tu chenye hadhi hiyo ya AFCON halafu mbwembwe kibao!