Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

Tunakukubali Sana Mama yetu, Chapa kazi Mungu atakuwa na wewe,
 

 
Kwa sasa ndio inaelekea kaburini kabisa! Watu wanateseka na njaa mitaani nyie mkikaa kwenye vyumba vyenye ac na kupewa posho mnahisi maisha ni mazuri kwa wote. Ipo siku kitatokea kitu cha kustaajabisha sana.

Mtaani vitu bei juu pesa haipatikani
Uchochezi
 
Watalii 243,565 walikuja kwa ungoo??? Hatuna detail za ndege zilizowaleta watalii hao,,, mtoaji uongo huu unaweza kutuambia ni ndege ngapi na za ukubwa gani ziliwaleta hao watalii au wengine walikuja kwa miguu??
 
Waandishi na watoa mada wengi kuhusu utendaji wa Samia ni machawa tuu,,, watu wasiosoma au waliofaulu eidha kwa kununua mitihani au kwa kutizamia
πŸ˜€πŸ˜€ Tumekosea wapi?
 
Kipimo cha kukua kwa uchumi ni kuangalia maisha ya watu wako tu? Ukiona bado wananchi wako wanasaka mlo 1 wa chakula jua uchumi umekuwa kwa ndani ya makaratasi tu
 
Tumeporomoka kutoka 10 bora unasema uchumi uko vizuri? Bongolala ni kichefu2!
 
Kazi iendelee, Tanzania iko vizuri Sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…