Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Good sana
 
Awesome Mama
 
Safi Sana Tanzania ya Mama na Baba,
 
Uchumi unapaa,
 
Mpaka 2030 huyu Mama atawashangaza sana tu, Wacha tuendelee kumwombea,
 
Tunasonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…