Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

Mtaipenda TU
 
Nahisi uchumi ni swala la muda na mipangilio ya muda mrefu,tusipende sifa kumpa mtu mmoja ila lawama tunawapa waliotangulia. Namaanisha ukuaji huu wa uchumi huenda umechagizwa toka enzi ya Mkapa ila manufaa yake tunayaona sasa hivyo yapaswa tuwape sifa wote waliowahi kuitawala Tanzania.
Muandishi umeongea royal tour imesaidia kukuza utalii,royal tour hata haijafika bado inapewa sifa ya kufanikiwa au lile tangazo ndio teyari limevutia watalii? Hebu tuwe was taarab kidogo,maneno kama haya ndio yanafanya wakosoaje watuone hatuna maana kabisa watanzania wote
 
Ulikuwa wapi kumueleza hili Mwendazake aliyeanzisha mashambulizi kwa watangulizi wake?
 
Kwa sasa ndio inaelekea kaburini kabisa! Watu wanateseka na njaa mitaani nyie mkikaa kwenye vyumba vyenye ac na kupewa posho mnahisi maisha ni mazuri kwa wote. Ipo siku kitatokea kitu cha kustaajabisha sana.

Mtaani vitu bei juu pesa haipatikani
Hizo ni ndoto kama ndoto zingine,Samia sio kiazi kama wale πŸ‘‡



















 
Pato la Taifa linasaidia nini huku nchi ikiwa imezama kwenye hyperinflation.We want more food on the table sio economic jargons,we are fed up with that.
 
Hebu tuachen, mnapenda sana kuzipika hizi data. Kipindi cha mwenda zake piah mlisema uchumi umekuwa. Hakukuwa hata na siku moja mlisema uchumi umeshuka na hata walipojaribu wachumi kusema uchumi unashuka mliwazingua. TUMEWACHOKA UMBWAA
 
Makofi tafadhali hichi ni kikao cha dharura, iyenaiyena iendelee ccm ni nambari wani, kidumu chama cha mapinduziiiiii. Tutakukumbuka daima Magu, Mshumaa uliozima ghafla na kutuacha tena ktk kiza totoro.
 
Makofi tafadhali hichi ni kikao cha dharura, iyenaiyena iendelee ccm ni nambari wani, kidumu chama cha mapinduziiiiii. Tutakukumbuka daima Magu, Mshumaa uliozima ghafla na kutuacha tena ktk kiza totoro.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
GDP haikupi picha halisi ya uchumi wa nchi kwasababu sehemu kubwa ya uchumi huo unamilikiwa na mataifa ya nje, ambao kwa kiasi kikubwa mapato yao yanarudishwa kwenye nchi hizo husika.

Hao NBS watoe figure za GNP (Gross National Product) Hii ndio inakupa picha halisi kwamba tumepiga hatua au ndio yale yale ya kuwaachia wageni kufaidi keki ya Taifa.
 
Hebu tuachen, mnapenda sana kuzipika hizi data. Kipindi cha mwenda zake piah mlisema uchumi umekuwa. Hakukuwa hata na siku moja mlisema uchumi umeshuka na hata walipojaribu wachumi kusema uchumi unashuka mliwazingua. TUMEWACHOKA UMBWAA
πŸ˜†πŸ˜† Wivu huu sasa kama sio nongwa,wapike data Ili wavumbue nini?

Zama za Giza zimepita.Hebu angalia performance ya sekta ya Utalii yangu awamu ya 6 imeingia yaani ni ♨️♨️.

Au na hizi zimepikwa? πŸ‘‡























 
Someni hii kwa makini,
 
Tufanyeni kazi kwa bidii, Uchumi unakua vizuri sanaw
 
Wacha asifiwe kama anafanya vizuri,
 
Hebu pitieni hii wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…