Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

Jesusie

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
1,466
Reaction score
766
Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta,

Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji yoyote toka nje au ndani wa kuanzisha kiwanda kwani Duniani kote sina hakika kama kuna kiwanda kinaweza kuendeshwa kwa Umeme wa Genereta au sola kwa ufanisi,

Wakati flani watu wa Kigoma na Katavi walipata mashaka kama na wao ni wana wa Tanzania kwani kwa kukosa kwao umeme wa gridi miaka 60 ya Uhuru kuliwatoa imani kwamba na wao ni Watanzania kama wenzao hoja ambayo leo Rais Samia anaijibu kwa vitendo,

Kwa mujibu wa meneja mkuu wa Shirika tanzu la TANESCO yaani Electrical Transmission and Distribution Construction Service Provider (ETDCO), Maclean Mbonile tayari Rais Samia anatekeleza mradi wa kupeleka umeme Kigoma na Katavi wenye Jumla ya Kilometa 776.

Umeme huu utatoka Tabora kwenda Mpanda na Tabora kwenda Kigoma kwa kilometa 383 na 393 kilometa kila moja kwa thamani ya TZS 15.9BL.

Mtakumbuka mradi huu ni miongoni mwamiradi 15 ya Mama Samia inayogharimu Jumla ya TZS151.48BL zilizokwisha kutolewa,

#Kigoma & Katavi hamkupata Umeme wa gridi tangu Uhuru,Kwani leo mnasemaje kuhusu Rais Samia ?

photo_2021-11-27_09-01-21.jpg
 
Kigoma and Katavi to get national grid electricity in 2022​

Tanesco pic

A Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) technician at work. Tanesco director general Maharage Chande has blamed frequent power cuts on maintenance of the power supply infrastructure. PHOTO | FILE

Dar es Salaam. Kigoma and Katavi regions are set to be connected to national grid electricity by the end of 2022.

The acting general manager of the Electrical Transmission and Distribution Construction Service Provider (ETDCO), Maclean Mbonile told journalists on Friday that among the projects they have in hand is to build electricity transmission of 776 kilometers to the two regions in Western Tanzania.

“Transmission is from Tabora to Mpanda and Tabora to Kigoma with 383 kilometers and 393 kilometers respectively. The total value of these projects is Sh15.9 billion,” he said.

According to him, two projects are among 15 projects of power transmission and distribution worth Sh151.48 billion in the pipeline.

Mr Mbonile who addressed the press to mark 60th independence anniversary for Tanzania, said the subsidiary company of the Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) has completed a total of 74 projects of power transmission and distribution worth Sh150.03 billion since its establishment in 2017.

“We facilitated the construction of two ways power project to the Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power dam in Rufiji which were 254 kilometers from Gongo la Mboto, Dar es Salaam and 54 kilometers from Morogoro worth Sh17.8 billion,” he said

The Manager further mentioned a 105 kilometer power transmission from Geita to Biharamulo under Stamigold which is worth Sh6.4 billion.

Since its establishment to June 30, 2021 the company has made a profit of Sh9.6 billion.

“Making profit and to be an independent business oriented company were among the reasons why the company was also made to compete inside and outside the country in power transmission and distribution” he explained.
 
Aisee Kigoma walio wengi hawamuelewi huyo hangaya na wanamchukia kweli kweli,,maana huku 98% ni wakulima na wanategemea kilimo kama mkomboz wao.Kilo 50 ya mbolea ni kuanzia 100k-120k,kwa hali hiyo wampende kisa umeme wa gridi ya taifa na wakati jenereta zao zinawapa umeme wa uhakika usio wa mgao
 
Wewe ni mercenary kama jina lako, Umelitendea haki hata hivyo
 
Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta,

Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji yoyote toka nje au ndani wa kuanzisha kiwanda kwani Duniani kote sina hakika kama kuna kiwanda kinaweza kuendeshwa kwa Umeme wa Genereta au sola kwa ufanisi,

Wakati flani watu wa Kigoma na Katavi walipata mashaka kama na wao ni wana wa Tanzania kwani kwa kukosa kwao umeme wa gridi miaka 60 ya Uhuru kuliwatoa imani kwamba na wao ni Watanzania kama wenzao hoja ambayo leo Rais Samia anaijibu kwa vitendo,

Kwa mujibu wa meneja mkuu wa Shirika tanzu la TANESCO yaani Electrical Transmission and Distribution Construction Service Provider (ETDCO), Maclean Mbonile tayari Rais Samia anatekeleza mradi wa kupeleka umeme Kigoma na Katavi wenye Jumla ya Kilometa 776,

Umeme huu utatoka Tabora kwenda Mpanda na Tabora kwenda Kigoma kwa kilometa 383 na 393 kilometa kila moja kwa thamani ya TZS 15.9BL,

Mtakumbuka mradi huu ni miongoni mwamiradi 15 ya Mama Samia inayogharimu Jumla ya TZS151.48BL zilizokwisha kutolewa,

#Kigoma & Katavi hamkupata Umeme wa gridi tangu Uhuru,Kwani leo mnasemaje kuhusu Rais Samia ?

View attachment 2025434
Kama ni Rais basi tumempata mchapakazi kwelikweli,
 
Hata kama ni upambe sio kwa kiwango hicho(unakuwa mpambe hadi bosi ana nuna) huo mradi umeanza muda mrefu tu , awamu hii ni kuukamilisha tu, lakini ulivyoandika ni kana kwamba , umeanza mwezi wa 3 mwaka huu, ambapo awamu ya 6, imeanza!!
 
Hebu lete tuone huo muda mrefu mradi huu ulionza, Tupia link
 
Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta,

Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji yoyote toka nje au ndani wa kuanzisha kiwanda kwani Duniani kote sina hakika kama kuna kiwanda kinaweza kuendeshwa kwa Umeme wa Genereta au sola kwa ufanisi,

Wakati flani watu wa Kigoma na Katavi walipata mashaka kama na wao ni wana wa Tanzania kwani kwa kukosa kwao umeme wa gridi miaka 60 ya Uhuru kuliwatoa imani kwamba na wao ni Watanzania kama wenzao hoja ambayo leo Rais Samia anaijibu kwa vitendo,

Kwa mujibu wa meneja mkuu wa Shirika tanzu la TANESCO yaani Electrical Transmission and Distribution Construction Service Provider (ETDCO), Maclean Mbonile tayari Rais Samia anatekeleza mradi wa kupeleka umeme Kigoma na Katavi wenye Jumla ya Kilometa 776,

Umeme huu utatoka Tabora kwenda Mpanda na Tabora kwenda Kigoma kwa kilometa 383 na 393 kilometa kila moja kwa thamani ya TZS 15.9BL,

Mtakumbuka mradi huu ni miongoni mwamiradi 15 ya Mama Samia inayogharimu Jumla ya TZS151.48BL zilizokwisha kutolewa,

#Kigoma & Katavi hamkupata Umeme wa gridi tangu Uhuru,Kwani leo mnasemaje kuhusu Rais Samia ?

View attachment 2025434
Kigoma tangu Uhuru wao ni majenereta tu,Samia apongezwe
 
Apongezwe kwa kitu gani wakati ni wajibu wake.Hizo fedha ni kodi za Watanzania na wala hastahili pongezi yoyote.Watu wengine humu ni wanafiki watupu.Ona unakatwa makodi lukuki halafu unapeleka kwenye shughuli za maendeleo halafu unasema aliyepokea fedha hizo apongezwe.Wa kupongezwa ni yule aliyelipa kodi ambaye ni mwananchi.Ukweli ndo huo.
 
Huo mradi ulizinduliwa awamu ya 5, na jpm aliweka jiwe la msingi, utagharimu bilioni 135., kutokea tabora kwenda mpanda, kupitia ipole.Sasa mtu anaandika kana kwamba awamu ya 6 ndio umeunza?!!
Hebu lete mkuu umalize Utata
 
Hebu lete mkuu umalize Utata
Mkuu hapa hakuna ligi!!kama unapenda ligi mimi huko sipo, bakia na unachokiamini, mradi huo umeanza 2017!!kwa hiyo kwa akili yako huo ujenzi wa line ya umeme ya km 776, uwe umeanza march 2021, halafu mwaka kesho umeme uwake?!!kama lugha ina panda pitia maneno haya na kuna mengine yapo huko juu kwenye habari yenyewe!!
The acting general manager of the Electrical Transmission and Distribution Construction Service Provider (ETDCO), Maclean Mbonile told journalists on Friday that among the projects they have in hand is to build electricity transmission of 776 kilometers to the two regions in Western Tanzania.
 
Nimefurahi sana jinsi huu Uzi ulivyotolewa comments . Mtoa mada umeonesha mahaba yaliyopitiliza kwa mama mpaka umejitoa ufahamu kupotosha ukweli.
 
Mkuu hapa hakuna ligi!!kama unapenda ligi mimi huko sipo, bakia na unachokiamini, mradi huo umeanza 2017!!kwa hiyo kwa akili yako huo ujenzi wa line ya umeme ya km 776, uwe umeanza march 2021, halafu mwaka kesho umeme uwake?!!kama lugha ina panda pitia maneno haya na kuna mengine yapo huko juu kwenye habari yenyewe!!
The acting general manager of the Electrical Transmission and Distribution Construction Service Provider (ETDCO), Maclean Mbonile told journalists on Friday that among the projects they have in hand is to build electricity transmission of 776 kilometers to the two regions in Western Tanzania.
Kulikuwa na Mradi wa Malagarasi nadhani unazungumzia huo,

Huu ni Mradi wa Rais Samia Chief Mwenyewe chief
 
Back
Top Bottom