Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

Kwa upande wa umeme Bora tubaki na magenerator tu maana haukatiki kabisa kama navoona watu wakilalamika
 
Kwa upande wa umeme Bora tubaki na magenerator tu maana haukatiki kabisa kama navoona watu wakilalamika
Daaah, Ukikata mtawasha genereta zenu ili Kaziiendelee, Ila Rais Samia anataka Viwanda Kigoma
 
Mkuu hakukua na haja ya kunitukana ungenielewesha tu ila shukrani sana[emoji120][emoji120][emoji120]
Nilihamaki kwakuwa mm niwakigoma vijana wengi tunahitaji umeme kwa viwanda wazee wetu wamelima sisi tumepokea kilimo hali mbaya sasa tunahitaji umeme tupate viwanda huenda tukabadilika tunambuga nzuri mahale na gombe lakini hazileti watalii wengi kwakuwa watalii hawafati wanyama tu huangalia fursa pia umeme muhimu sana kama mvua inavyo itajika masika samahani pia nipokukwaza
 
Mama piga kazi tuko na wewe,
 
Mama anafanya maajabu kila kukicha
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Mama anafanya makubwa
 
Nzuri Sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…